Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Rais kasema alikuwa natumika! Ulitaka uletewe ushahidi gani? Upewe card reader yenye huo ushahidi au nini?

Nakuuliza tena huko kwenu kuna mgonjwa wa zika au hata ulisikia hata tetesi kwamba kuna zika sehemu flani?

Au nyie mnafikiri watanzania ni wajinga sana? Kwamba kwakuwa wewe unampinga magufuli basi kila mtu awe anabisha tu kila anachosema?
 
Walimfukuza yule mama kwa kumuonea tu na Mungu amemlipa zaidi.

Moyo wa rais wetu umejaa chuki na visasi visivyo na maana.
Hanna alitumiwa na mabeberu Ila Tanzania hakuna yahe
 
Anachokionyesha magufuli ni dalili za kukosa utu na busara kama kiongozi.
 
Tatizo ni uelewa wako mdogo. Hujui tofauti ya vimelea vya ugonjwa na ugonjwa. Taarifa ya utafiti ilisema kulionekana vimelea vya zika, haikusema kulikuwa na wagonjwa wa zika.

Kuonekana kwa vimelea kunaashiria potential ya kuja kupata wagonjwa, japo si lazima.

Hatuwezi hata kusema kama kumewahi kuwepo mgonjwa wagonjwa wa zika TZ au hapana, kwa sababu taasisi zetu za utafiti wa magonjwa ni duni sana. Tunashindwa kuchukua vipimo kwaajili ya kutambua maambukizi ya Covid 19, itakuwa zika ambayo haijawahi kutangazwa kuwa janga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi simpingi Magufuli. Bali napinga lies, propaganda. Binafsi ni anti-politics guy. I dont care zimetokea upande gani ni upande wa serikal au wa upinzani, i dont give an damn about it.

Pili if yes necessary ushahidi uwekwe in public. Kutaluwa hamna maana kama kafukuzwa na bado mshahid hamna.
Accusation pekee hazitoshi. Na kama kweli alikuwa anatumika. Angepelekwa mahakamani? Why yuko huru? hakuna hata jalada lililofunguliwa na jamhuri kuhusu yeye?

Tatu huenda ninapotoka hakukuwa na zika. But is childish question to be asked. Scientifical research dont based on individual observation, based on large number of peoples. And the result where there.

I trust professionalism yake.. although haikuwa kazi yake kutangaza.. but research yake ilikuja na majibu hayo.
So is there anybody mwenye research inayopinga majib ya research yake?
 
Rais anachoongea ni porojo. Hakuna uthibitisho wowote wa kutumika. Tusikubali cheap politics. Cheap politics are for cheap minds but not for the clever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo Rais hakuwai tangaza dawa ya corona bali alisema izo dawa za malaria zimeonekana kusaidia wagonjwa. Ndyo wakafanya utafiti/ test kwa wagonjjwa na ikagundulika kuwa si kweli hazisaidii. Ingekuwa ni Tanzania kwanza utafiti usingefannyika au report isingetoka endapo majibu yangekuwa tofaut na Rais. Na yeyote ambaye angeoinga angeambiwa anatumika na mabeberu.

Swali fikirishi, je nyungu inatibu CORONA?
Malimao na Tangawizi yanatibu corona?
Kujifukiza kunatibu corona?

Pia, Rejea kwenye Principal question. Wamarekani wamepata hofu gani baada ya kutangaziwa mwenendo wa Covid kila siku?
 
Ndio MUNGU hakumuacha.

Akapewa cheo cha Director general of the national institute for medical research.
Till now and then hakuna mwenye concrete evidence kuwa alikuwa anatumika.

Alitolewa tu ili mtu fulani afaidike kisiasa.
Kweli kabisa, na kama alivyowahi kusema yeye mwenyewe wa Tz sio wajinga hivyo !!
Na CAG huyu nae anatumika mbona kaibua madudu na uozo ule ule ?

Just too much lies after lies....ndo maana kila siku zinatumika nguvu nyingi kutafuta na lazimisha sifa...
Kama ni mazuri tutaona na kusifia....sio kwa kulazimisha.
Ona sasa mlivyokula pension funds huku lying ni makusanyo ya ndani. Phew...
 
Ilipaswa ashauriane na wakubwa zake nankuona cha kufanya! Siyo unakurupuka tu toka huko uliko unaitisha vyombo vya habari na kusema kuna Zika!

Hivi unajua athali ya ile tangazo la Mwele kiuchumi?
 
Aisee... Unataka ushahidi uwekwe public zaidi ya ule aliosema rais?
 
Aisee... Unataka ushahidi uwekwe public zaidi ya ule aliosema rais?
Hahaha alichosema mhe kinaweza kiwe kweli au uwongo. The fact ww mwenyewe huna uhakika na allegation yako against her.. why? Sababu huna evidence.

Kama kuna mwenye concrete evidence, leo hii huyu dada angekuwa gerezani. Instead akaachiwa tu.. mpaka anakula shavu ulaya.
Si kila anachosema mhe ni cha kweli. Akili ya kuambiwa changanya na zako.

Si kila kitu ni yes sir
 

Hilo halipingiki mkuu lakini solution sio kulaumu au kuitana majina.

Mwenyekiti Mao Dezong aliwaita majina mabaya hawa jamaa mpaka akafa lakini warithi wake wameinyanyua China mpaka kuwa taifa la pili kiuchumi duniani without much name calling.
 

Uko sawa mkuu. Tatizo la msingi bado ni elimu.
 
Anaamani na furaha tele. Yani ufukuzwe kazi kesho yake uteuliwe kwenye kazi nyingine, mshahara ni mara mbili ya uliokuwa ukipata. Then baada ya hapo unapewa na cheo. Mshahara mara 4 ya kazi ukiyotumbuluwa, kwanini usiwe na amani?
Mshahara mkubwa is not everything..Nchi yako au tuseme uongozi wa Nchi yako ukikuweka katika kundi la watu wanaohujumu Nchi ni Jambo baya mno...uombe yasikukute hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…