Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Kilichomumiza Magufuli ni huyo Mama kupewa kazi WHO.

Alitaka akimfukuza ateseke
Siyo kweli sema watu wengi hasa waTanzania hua mnaacha faida za taifa kwa tamaa ndogo ndogo sana
 
CCM ya Magufuli ndiyo wanafuata hizo faida za taifa ?
Punguza upumbavu ndugu. We unadhani kila anayeona mema ya JPM ana chama cha siasa kama nyinyi mliokalia siasa bila kufikiri..wengine hatuna hivyo vyama lakini uhalisia tunauona
 
Punguza upumbavu ndugu. We unadhani kila anayeona mema ya JPM ana chama cha siasa kama nyinyi mliokalia siasa bila kufikiri..wengine hatuna hivyo vyama lakini uhalisia tunauona
Pumbavu mwenyewe
 
Siyo kweli sema watu wengi hasa waTanzania hua mnaacha faida za taifa kwa tamaa ndogo ndogo sana
Kubali ukatae, ukimtimua mkeo kwa sababu za kipuuzi halafu akapata mume tena mwenye maisha zaidi yako roho itauma tu

Pia Boss akimfukuza kazi mfanyakazi wake kwa sababu za kipuuzi na kwa kujigamba kumkomoa kisha huyo mfanyakazi akapata kazi nzuri kuliko hata ile ya Boss wa mwanzo na Boss akafahamu halafu akawa anamtolea mifano mibovu kwenye vikao na wafanyakazi wengine hilo ni jibu tosha kwamba huyo Boss alitamani aliyefukuzwa akahangaike mitaani

Kulikuwa na sababu gani ya kutengua uteuzi wake usiku wa saa tano? Kwani asubuhi ilikuwa haiwezi kufika? Na kwanini tangu 2016 hadi leo bado hajamtoka kwenye ulimi?
 
Siwezi kuendelea kujibizana na mtu mjinga na mpumbavu..pita hivi[emoji117] farasi jike we
Umekosa cha kujibu mpaka utumie matusi kwa mtu usiyemjua?

Haya nenda zako mbwa jike wewe
 
We know what is behind the scenes, Acha uongo
 
Yaliyotangazwa ni matokeo ya utafiti, lakini unasoma mtu anaandika kana kwamba mkurugenzi wa taasisi alikaa maabara mwenyewe akatafiti kabla ya kutangaza. Unapohoji kama kuna mgonjwa wa zika, ni kuonyesha wazi huna uelewa au uko hapa kupotosha. Unasahau kwamba alipofukuzwa ilisemwa kosa lake ni kutofuata protocol za kutangaza. Unasahau kwamba utafiti uliofanywa haujawahi kupingwa.
 
Na kuna mwingine anatumiwa na Mabeberu yupo Ulaya kutaka kuharibu amani ya Nchi yetu
Kuna mwingine yule anayepoteza watu anataka awekewe kinga asishtakiwe. Huyu yuko hapa hapa Tz. Huyu atakuwa anatumiwa na nani!? Mabeberu au wazalendo uchwara!?
 
Porojo tu hizo. Alitaka akose kazi!? Yeye siye mtoa riziki. Aangalie asije kufa na kijiba cha roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…