mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Inamaana unajitoa ufahamu hujui kipi kilimuondoa!??Kwani alifukuzwa kwa sababu ya uwepo wa Ebola hapa nchini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana unajitoa ufahamu hujui kipi kilimuondoa!??Kwani alifukuzwa kwa sababu ya uwepo wa Ebola hapa nchini ?
Nakuuliza alifukuzwa kwa kusema Tanzania kuna Ebola?Inamaana unajitoa ufahamu hujui kipi kilimuondoa!??
Siyo kweli sema watu wengi hasa waTanzania hua mnaacha faida za taifa kwa tamaa ndogo ndogo sanaKilichomumiza Magufuli ni huyo Mama kupewa kazi WHO.
Alitaka akimfukuza ateseke
CCM ya Magufuli ndiyo wanafuata hizo faida za taifa ?Siyo kweli sema watu wengi hasa waTanzania hua mnaacha faida za taifa kwa tamaa ndogo ndogo sana
Wewe siyo sehemu ya hao watanzania?Siyo kweli sema watu wengi hasa waTanzania hua mnaacha faida za taifa kwa tamaa ndogo ndogo sana
Punguza upumbavu ndugu. We unadhani kila anayeona mema ya JPM ana chama cha siasa kama nyinyi mliokalia siasa bila kufikiri..wengine hatuna hivyo vyama lakini uhalisia tunauonaCCM ya Magufuli ndiyo wanafuata hizo faida za taifa ?
Ninayejua uhalisia wa mamboWewe siyo sehemu ya hao watanzania?
Inamaana kwenye hoja yangu uliiona kasema Kuna EBOLA tu!??Nakuuliza alifukuzwa kwa kusema Tanzania kuna Ebola?
Pumbavu mwenyewePunguza upumbavu ndugu. We unadhani kila anayeona mema ya JPM ana chama cha siasa kama nyinyi mliokalia siasa bila kufikiri..wengine hatuna hivyo vyama lakini uhalisia tunauona
Na mimi nauliza wapi alisema Tanzania kuna Ebola ?Inamaana kwenye hoja yangu uliiona kasema Kuna EBOLA tu!??
Kwahiyo wewe siyo sehemu ya hao watanzania ?Ninayejua uhalisia wa mambo
Siwezi kuendelea kujibizana na mtu mjinga na mpumbavu..pita hivi[emoji117] farasi jike weKwahiyo wewe siyo sehemu ya hao watanzania ?
Kubali ukatae, ukimtimua mkeo kwa sababu za kipuuzi halafu akapata mume tena mwenye maisha zaidi yako roho itauma tuSiyo kweli sema watu wengi hasa waTanzania hua mnaacha faida za taifa kwa tamaa ndogo ndogo sana
Umekosa cha kujibu mpaka utumie matusi kwa mtu usiyemjua?Siwezi kuendelea kujibizana na mtu mjinga na mpumbavu..pita hivi[emoji117] farasi jike we
And you are so dumb to believe that.Rais Magufuli ni msema kweli daima!
Rais Magufuli amenukuliwa akisema haya..
Wakati tunaingia madarakani tuliambiwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika, aliyetangaza na aliyetumiwa kutangaza nikamfukuza kazi (bahati mbaya ni Mgogo); Baada ya kumfukuza yule Mgogo aliyesema Tanzania kuna Zika na waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi, mpaka leo miaka karibu mitano hapajawahi kuwa na kesi hata moja ya Zika hapa Tanzania.
Baada ya uzushi wa Zika kupita na kumfukuza kazi aliyesema kuna ugonjwa huo, tukakaa baadaye tukaambiwa kuna Ebola, walijua wakisema tuna Ebola Watalii hawatokuja, tukasema sisi hatuna Ebola wala Mjukuu au hawara yake Ebola, hatujaona Ebola wala nani amekufa kwa Ebola hapa Tanzania.
Pia soma
1. Rais atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dkt. Mwele Malecela
2. Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika
3. Safari itasonga Kwa msaada wa Mungu: Dr. Mwele Malecela
4. NIMR: Asilimia 45 ya watoto wachanga wakutwa na Virusi vya homa ya ZIKA Tanzania
Kuna mwingine yule anayepoteza watu anataka awekewe kinga asishtakiwe. Huyu yuko hapa hapa Tz. Huyu atakuwa anatumiwa na nani!? Mabeberu au wazalendo uchwara!?Na kuna mwingine anatumiwa na Mabeberu yupo Ulaya kutaka kuharibu amani ya Nchi yetu