Kuna sintofahamu kubwa ikiwa ni kweli hao maelfu ni kweli wanakufa, au ndo power ya media zao kueneza propaganda. Ikumbukwe kua Trump alitangaza dawa ya korona baadaye ikaja kubainika ni uongo.
Wenzetu uchumi wao upo juu sana na hata sekta ya afya ipo juu kiufanisi, majanga kama hayo ya korona madhara yake hayawezi kua sawa na Africa. Huku africa hua tunaathiriwa zaidi kiakili kuliko kawaida, ndio maana thinking capacity yetu ina mashaka. Mfano mdogo ni huu wa vifo vya korona huko USA, je ni kweli?? Hakuna kilichonyuma ya pazia?