Rais Magufuli amchenjia Makonda?

Rais Magufuli amchenjia Makonda?

hawezi kumchenjia Makonda,mpaka wanajimilikisha Ardhi eneo moja kwa pamoja,then ujue Makonda sio wa kutumbuliwa leo wala Kesho..tutabaki tunaongozwa na mapoyoyo mpaka kesho
 
Hana ubavu wa kumtumbua atasema sana lakini wangekuwa ni wengine angekuwa ashapiga chini.
 
Hatuna uhakika kama Mzee Mkapa alichota kwenye huo mfuko.Nadhani alimpa kutoka mfukoni mwake hiyo nauli.Na huenda ni laki au laki mbili tuu.
Wakati Makonda anaongea,kabla ya Magu kuongea.Makonda alikuwa anaainisha umuhimu wa huo mfuko wa Tasaf,ndo akasema na yeye mfuko uliwahi msaidia nauli ya kwenda Dom.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Mkapa ndo mchawi mkubwa wa hii nchi. Hawa washamba wanaotusumbua kumbe ni yeye ndo aliwaleta mjini.

Amemkuza huyu mwenye makalio makubwa, na kisha mwaka 2015 akaingia mkutanoni Dodoma akiwa na jina la mshamba fulani hivi mfukoni.
 
Nyani Ngabu,
Hakuna lolote hapa kwanini bado anakazi na wakati mwingine watu wanatumbuliwa kwa vitu vidogo sana
 
Alafu kwa sisi makamisaa kumbuka kasema kama anabembeleza.
Nukuu;makonda kama kweli hiyo hela umeichukua irudishe ,nasema tena kama ni kweli urejeshe:mwisho
Kwa kauli hii ingekuwa sio patna wake anamsema hivyo labda mkuu mwingeni wa mkoa leo hii hii pale pale ngetoa tamko. Nyani Ngabu,
 
Wakati Makonda anaongea,kabla ya Magu kuongea.Makonda alikuwa anaainisha umuhimu wa huo mfuko wa Tasaf,ndo akasema na yeye mfuko uliwahi msaidia nauli ya kwenda Dom.
Nilivyoelewa ni kuwa Makonda hana kosa kwa sababu alipewa na wahusika, hivyo utaratibu wa kugawa ulikuwa mbovu. Hakufanya uhalifu wowote, ila kwa sababu za kupenda kujitapa akajikuta anasema kuwa naye alifaidika (kitu ambacho ni kosa kwani fedha zilikuwa kwa sababu ya watu maskini na sidhani zilikuwa kwa lengo ya kusaidia watu kugombea nafasi za kisiasa). All in all Magufuli na Makonda wana siri kali sana ndiyo maana anakuwa na kiburi sana.
 
Back
Top Bottom