Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayadhuhutu kusema maana mpaka.sasa hakuna ambaye hajagugwa hata na kifo kimoja...ukisema.hali ni mbaya hawaaminiSasa yamepata cha mtema kuni. Na bado.
Hajapanic, vipi bado upo?Hajapanic ametulia, anaangalia hali halisi ya maisha ya watanzania hajakurupuka anawahurumia watu wake ana hofu ya MUÑGU huyu ndiye John mtoto wa Magufuli
Waliopiga kelele kuwa anavunja haki za binadamu wamejifunza kwa vitendo sitegemei kusikia tena Mbwa akibweka kuwa kuna uvunjifu wa haki za binadamu Tanzania
Kuanzia mwezi huu mwishoni maisha ya kawaida yatarejea wataungana na falsafa ya Mwamba wa Chato Mtanzania namba moja hodari mwenye imani kama akina Ibrahim
Heko JPM mwenyezi Mungu alikuandaa uje kuliongoza Taifa hili kwenye nyakati ngumu umebarikiwa
Baada ya vifo mfululizo vya viongozi wa nyadhifa za juu, inabidi nikupongeze kwa kuliona hilo!Hajapanic ametulia, anaangalia hali halisi ya maisha ya watanzania hajakurupuka anawahurumia watu wake ana hofu ya MUÑGU huyu ndiye John mtoto wa Magufuli
Waliopiga kelele kuwa anavunja haki za binadamu wamejifunza kwa vitendo sitegemei kusikia tena Mbwa akibweka kuwa kuna uvunjifu wa haki za binadamu Tanzania
Kuanzia mwezi huu mwishoni maisha ya kawaida yatarejea wataungana na falsafa ya Mwamba wa Chato Mtanzania namba moja hodari mwenye imani kama akina Ibrahim
Heko JPM mwenyezi Mungu alikuandaa uje kuliongoza Taifa hili kwenye nyakati ngumu umebarikiwa
Mmeumbuka sasaWalimbeza sana mwanzoni, lockdown Tanzania tungeshakufa njaa. Mabeberu wenyewe hii imewashinda
Wewe upo Tanzania? Upo kwenye lockdown? Unadhani kati ya wewe na hao unaofurahia vifo vyao ni nani yuko kwenye risk kubwa ya kupata maambukizi?
😂😂😂Unatakiwa utiwe mimba ili upate wenge halisi, sio hili la kujifaragua.
... mficha maradhi? Ni jitu la ajabu pekee linaona kabisa janga hilo hapo kwa jirani linakuja halafu bado huchukui hatua yoyote! Tumeaibika haswa.GHAFLA MATAGA WAMEKUWA MABUBU
Nadhani wewe hufuatilii Mambo ya nchi hii.Wewe upo Tanzania? Upo kwenye lockdown? Unadhani kati ya wewe na hao unaofurahia vifo vyao ni nani yuko kwenye risk kubwa ya kupata maambukizi?
Kuwa mwenye afya na nguvu za kutype hapa sio uwezo wako ni uwezo wa yule aliyeruhusu wengine watangulie mbele ya haki, ambae akiamua hata wewe uende sasa utaenda tuu
Chukua tahadhari na umuombe Mungu wacha kujimwambafy kwa uhai usiojua mwisho wake ni lini.
Mmeshafukua makaburi duuh
Kule nyuma vipi mnatusikiaaa ...[emoji378][emoji378][emoji378] au tuongeze sauti haya sikiki vizuriHajapanic ametulia, anaangalia hali halisi ya maisha ya watanzania hajakurupuka anawahurumia watu wake ana hofu ya MUÑGU huyu ndiye John mtoto wa Magufuli