Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amepania kurejesha kwa nguvu mfumo wa chama kimoja nchini

Maelezo marefu sana, lakini ulichoongea ni pumba tupu...........

Hivi wewe ni kipofu hata ushindwe kubaini aliyetoa maagizo ya kipuuzi ya kuvuruga uchaguzi wa Serikali ya mitaa ni Jiwe mwenyewe??
 
Kwa rais kujua shida za wananchi wake lazima afanye ziara,sasa hiyo representation tunayoambiwa niya nini na tunawakilishwa kwa nani?Je hiyo ya wapinzani kutokujumuika kwenye ziara za rais imeanza tangu 1992 au wakati huu wa Magufuli?
Wapinzani hawaoni sababu ya kujiunga na ziara yake huyo jamaa.........

Kwa kuwa wanajua wakijiunga kwenye ziara hizo ni kusimangwa na kudhalilisha na huyo Jiwe
 
Wewe Ulishapondwa ukaitwa Njaa, Uteuzi Utauisikia tu Kwa Wenzio..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…