Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.
Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.
Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali haina dini sasa baba magufuli anamfukuzaje mtu kwa kutumia mamlaka ya kuwa mkuu wa serikali???
Uwe ulilewa au hukulewa maadamu umefanya kosa na kushtakiwa ni lazima upewe nafasi ya kusikilizwa kwa mujibu wa sheriaKulewa isiwe sababu ya kufanya ujinga Alafu nyie walevi bwana mnafanya ujinga mnataka muachwe eti tu umelewa
Mkishikiswa adabu mtakunywa kwa ustaarabu mkichekewa mtafanya zaidi ya hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli mtu wa kutumbua watu jukwaani kwa kelele za "nitumbueee, nisitumbueee?"Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.
Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.
Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lazima apimwe ni mzima au mwehu!
kama mwehu hana kosa.
Ila na hawa ndugu zetu wanadeka sana.
Hapa tumeogopa mengi.
Unaweza kukuta kichaa huyo akasababisha watu wakavaa mabomu au kuchoma makanisa.
Mpumbavu ni mpumbavu anaweza kuwa huku au kule ni kuwadhibiti mapema.
Lakini ninajiuliza kwa nini kila siku iwe kitabu hiki tu cha waislamu ndiyo mara kinachanwa mara kinachoma moto, kwa nini lakini?
mbona biblia inachanwa na hata kuchomwa moto . watu hawana shida kwa maana wanamuachia Mungu.
Ila kwa nini hikikitabu tu kiteswa mara kwa mara.
Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.
Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.
Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zanzibar padri aliuawa nchi haikuingia kwenye machafuko, Dar na Kagera makanisa yalichomwa moto nchi haikuingia kwenye matatizo, mtindo huu unaotumiwa na viongozi ndiyo unaofanya waislamu wakitendewa wanaanzisha vurugu.kwahiyo Ulitaka wakae kimya tu....nchi iingie kwenye machafuko kwaajili ya ujinga wa mtu 1
serikali haikuwachukulia wahusika hatua..?..mbona hata kule kusini waislam walivamiwa msikitini na wakapigwa,mapanga na nchi haikuingia katika machafuko.......Zanzibar padri aliuawa nchi haikuingia kwenye machafuko, Dar na Kagera makanisa yalichomwa moto nchi haikuingia kwenye matatizo, mtindo huu unaotumiwa na viongozi ndiyo unaofanya waislamu wakitendewa wanaanzisha vurugu.
Na ukiwa na furaha sanaUsitoe maamuzi ukiwa na hasira!
Pia tujifunze vitu vya kuomba!πππ ...yani katika yote aliyokuwa nayo Mtukufu Mfalme Herode, Herodia bintie aliona Kichwa cha Yohana ndicho cha muhimu?(tafadhali nisiambiwe eti hapa alishauriwa na *****)πpia usitoe zawadi/ahadi ukiwa na furaha kupindukia.
rejea mfalme herode kumtuza bintiye herodia.
binti alichagua kichwa cha yohana mbatizaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu MUNGU si wadhambi Bali Shetani!Mbona mwanadamu akifanya dhambi halaumiwi Mungu?
Taratibu Kwanza, tangu lini Serikali imeanza kuruhusu vichaa kufanya kazi serikalini?Utawala wa sheria haufatwi kabisa nchi hii.Mahakama ikishibitisha kuwa alikuwa kichaa je? Atapoteza haki yake ya ajira sababu tu ya Tamko la Mh Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina muda wa kufungua uzi.Huko wenzako walishanikimbia
Fungua uzi nitakuja huko tuelimishane kwa hoja
Huu uzi acha tumpongeze kipenzi Magufuli
Jinsi anavyowasomesha namba islamophobes
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Biblia ni fake sasa kwanini mlikopi maandiko yake?Biblia kuchana ni kama unachana gazeti has no impact ,it is a fake book
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dharau lakini mafundisho yetu hayatuelekezi ukorogi na mabavu kama wenzetu. Yesu alihubiri upendo hata kwa adui zetu.Mbona waislamu wanakuitaga wewe kafiri hiyo sio dharau kwa imani nyingine?