Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Tatizo wanasiasa wameshindwa kazi zao, wanatafuta pa kutokea kwenye mambo kama haya.
Kiranga my brother not everything is said truthfully. The man has mental problem. Na clinical records zinaonyesha he was diagnosed having SCHIZOPHRENIA recenlty. What bothers me is why was he still an officer while he was proven to be mentally unfit?
What damage has he caused by being in the office when he was sick? Who knows whatwill he do there after?
Familia yalr ilisema ukweli kwa mwajiri wake? Ama they kept it secret ili aendelee kula mshahara? Afisa utumish wa halmashauri kwanini alinyamazia licha ya kwamba anajua mhusika na historia ya kuumwa kwake?
 
Rais kumfukuza kazi kakosea sana. Rais yeye sio jaji wala hakimu ama mahakama. Miongozo ipo inatakiwa ifuatwe. Kesho rais atavunja ama atakiuka sheria na taratibu nyingine basi tuisongelee hayo
 
FB_IMG_1581499705178.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida yake ni kukichana hadharani, lakini kama angejifungia chooni kwake angeweza hata kukichana na kukichambia bila kumletea shida. Lakini kukichana hadharani alimaanisha kitu kikubwa sana ambacho kingesababisha hata mauaji na mifarakano mingine kwenye jamii.

Sasa sina uhakika kama adhabu ya kosa kama hili ni kuachichwa kazi bila kusikilizwa (natural justice)
 
Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.

Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.

Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda alitumwa
 
Kiranga my brother not everything is said truthfully. The man has mental problem. Na clinical records zinaonyesha he was diagnosed having SCHIZOPHRENIA recenlty. What bothers me is why was he still an officer while he was proven to be mentally unfit?
What damage has he caused by being in the office when he was sick? Who knows whatwill he do there after?
Familia yalr ilisema ukweli kwa mwajiri wake? Ama they kept it secret ili aendelee kula mshahara? Afisa utumish wa halmashauri kwanini alinyamazia licha ya kwamba anajua mhusika na historia ya kuumwa kwake?
Sasa serikali sera yake ni kufukuza kazi watumishi wake wagonjwa au kuwasaidia matibabu?

Kama ugonjwa mbona hata huyo Magufuli mgonjwa?

Wewe unamuona mzima yule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom