miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,511
Ni vizuri Magufuli akafikiri kwanza, U-RC, U-DC au Ubalozi anaoahidi una ushawishi gani kwa wajumbe na wananchi mgombea wao aliyekatwa licha ya kuogoza kura za maoni?HII TABIA YA KUTEMBEA NA RUSHWA YA HONGO YA VYEO NI UDHALILISHAJI ......MAANA KILA MAHALI NI KUAHIDI U RC ,DC , NA UBALOZI ....KATIBA MPYA IKIJA IONDOE HIVI VYEO .....KILA MKOA UWE NA MEYA au GAVANA atakayekuwa responsible na maendeleo ya mkoa , ili kuleta umoja wa kitaifa na kuondoa ubaguzi ....RAS ambaye atakuwa chief of staff wa ofisi ya GAVANA wa mkoa yeye ataendelea kuteuliwa na RAIS ili kuwe na utii na coordination ,ajira ziendelee kuwa central coordinated .....yeye kazi ya GAVANA iwe tu kusukuma maendeleo
DC wa makao makuu ya nchi na Katibu Mkuu wa BAVICHA. Atakuwa mtoto wa SANGOMAKatambi wenu huyo hapoView attachment 1556782
Zaidi amedai kuwa aliyeongoza kura za maoni Ndugu Steven Masele atampangia kazi ya ukuu wa Mkoa au ubalozi. Picha inayoonekana tayari kuna ugumu katika jimbo hilo kwa kutokukubalika kwa mgombea aliyepitishwa kinyume na pendekezo la kura ya maoni.
DC wa makao makuu ya nchi na Katibu Mkuu wa BAVICHA. Atakuwa mtoto wa SANGOMA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mwisho ulivyomalizia, imebidi nicheke tu
Hapo ndo mjue Rais Magufuli ni genius, unaweza ukazani kamsahau mtu ama kamuonea kumbe anampango naye mwingine mkubwa, mfano ni huyo Steven Masele.
Ambaye anaweza kuwa balozi kuwakilisha nchi kwenye taifa jingine, ama SADC, AU, na UN.
Rushwa kakatwa chenge itakuwa na Masele ? Kwa Hiyo apewe mtoa rushwa?
Hata kama kwenye maisha kuna bahati mbaya, huwa najiuliza ilikuwaje huyu jamaa akawa rais?
Mkuu hakuna mahali JEMBE ametamka rasmi aina ya wadhifa atakaompangia Maselle zaidi ya kusema ameonana nae na kuahidi kumpangia majukumu mengine.Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie madiwani na wabunge wa CCM kwa sababu ataweza kuwabana.
Zaidi amedai kuwa aliyeongoza kura za maoni Ndugu Steven Masele atampangia kazi ya ukuu wa Mkoa au ubalozi. Picha inayoonekana tayari kuna ugumu katika jimbo hilo kwa kutokukubalika kwa mgombea aliyepitishwa kinyume na pendekezo la kura ya maoni.
Ameendelea kudai kuwa wasiangalie sura nzuri hali iliyoonesha kuwa kwa mtazamo wake Masele anasura nzuri ukimlinganisha na Katambi.
We have lost five years of progress as a nation under him.Mimi pia najiuliza zaidi yako... Am sure Nyerere angekuwa hai engezamtungua hapo for any means
Anatoa clip nzuri zinazotuhabarisha mipango miovu iliyopangwa ughaibuni kuja kutuvurugia amani yetuKatambi ni kidudumtu.......
Hapati kura hata moja
Duh, kumbe unavaa kinga kwa mmeoNindhani Magufuli anachemka all the time mkuu, jana amesema tugongane bila kinga tufyatuane.
Mwenyekiti kasema atampangia kazi nyingine,kumbe hakuna vita dhidi ya Rushwa?Kama Maselle kakatwa kugombea ubunge kwa sababu za rushwa,vipi tena anateulika?Magumashi ya CCM ni mengi kiasi kwamba hata wanasahau kufuta nyayo za waliyoyatenda kwa hila.Rushwa kakatwa chenge itakuwa na Masele ? Kwa Hiyo apewe mtoa rushwa?
Tulipodharau maneno ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru(RIP) Mhenga,Watanzania tusirudie kosa tena.Hata kama kwenye maisha kuna bahati mbaya, huwa najiuliza ilikuwaje huyu jamaa akawa rais?
MAGUFULI KUNA WATU ANATAKA KULAZIMISHA WAPITE IWE JUA AU MVUA....MFANO KUNAMBI KULE MLIMBA WANATUMIA NGUVU SANA ....HAPO UBUNGO NA MAENEO MENGINE AMBAKO KUNA WATU WAKE ......HII SIO SAWA KABISA ...NI LAANADC wa makao makuu ya nchi na Katibu Mkuu wa BAVICHA. Atakuwa mtoto wa SANGOMA
"mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa".Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie madiwani na wabunge wa CCM kwa sababu ataweza kuwabana.
Zaidi amedai kuwa aliyeongoza kura za maoni Ndugu Steven Masele atampangia kazi ya ukuu wa Mkoa au ubalozi. Picha inayoonekana tayari kuna ugumu katika jimbo hilo kwa kutokukubalika kwa mgombea aliyepitishwa kinyume na pendekezo la kura ya maoni.
Ameendelea kudai kuwa wasiangalie sura nzuri hali iliyoonesha kuwa kwa mtazamo wake Masele anasura nzuri ukimlinganisha na Katambi.