Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amnadi Patrobas Katambi, aahidi kumpa kazi nyingine Stephen Masele

Hapo ndo mjue Raisi Magufuli ni genius, unaweza ukazani kamsahau mtu ama kamuonea kumbe anampango naye mwingine mkubwa, mfano ni huyo Steven Masele.

Ambaye anaweza kuwa balozi kuwakilisha nchi kwenye taifa jingine, ama SADC, AU, na UN.
Genious kwa kuacha "chagua la watu wengi" na kumpa chaguo la watu wanne?
 

Kweli kuna mtu ameifanya nchi na wananchi kuwa mali yake. Amekuwa anawapangia watu na kuwalazimisha wampitishe yule ambaye yeye anamtaka hata kama wanachama na wananchi hawamtaki. Eti wasichague mpinzani hata kama anafaa na watu wanamtaka?

Ingekuwa vizuri kwa wanachama na wananchi kukataamaagizo na maamuzi yake, pia kumkataa yeye mwenyewe kwani anawaona kama watumwa wake wakati wao ndo waliomweka kwenye nafasi aliyo nayo.
Haya yanawezekana tu kwenye sanduku la kura.
 
Hapo ndo mjue Raisi Magufuli ni genius, unaweza ukazani kamsahau mtu ama kamuonea kumbe anampango naye mwingine mkubwa, mfano ni huyo Steven Masele.

Ambaye anaweza kuwa balozi kuwakilisha nchi kwenye taifa jingine, ama SADC, AU, na UN.
Na pia anaweza kumwacha akasota mtaani
 

HII TABIA YA KUTEMBEA NA RUSHWA YA HONGO YA VYEO NI UDHALILISHAJI ......MAANA KILA MAHALI NI KUAHIDI U RC ,DC , NA UBALOZI ....KATIBA MPYA IKIJA IONDOE HIVI VYEO .....KILA MKOA UWE NA MEYA au GAVANA atakayekuwa responsible na maendeleo ya mkoa , ili kuleta umoja wa kitaifa na kuondoa ubaguzi ....RAS ambaye atakuwa chief of staff wa ofisi ya GAVANA wa mkoa yeye ataendelea kuteuliwa na RAIS ili kuwe na utii na coordination ,ajira ziendelee kuwa central coordinated .....yeye kazi ya GAVANA iwe tu kusukuma maendeleo
 
Tuliokuwepo kwenye mkutano Wa tinde kimwili na kiakili tunawatizama tunasema iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, patrobaaaaas wawaaaap.
 
Kawaharibia hawana hamu Hadi kina juakali wanazimia

Huyu mtu ni ndumilakuwili. Anakutamani na kukuheshimu anapotaka kukutumia ili avuke ng'ambo. Akishavuka tu, basi hana habari tena na wewe na anakuwa adui yako wakati wewe ndiye uliyemvusha. Hii ni hatari sana na liwesomo kwa wale wote wanaojipendekeza na kujirahisisha kwake.
 

Hivyo huyu kweli ni Rais? Mbona hoja zake haziingii akilini!!!
 
Uongo unakusaidia nini
 
Nawashangaa wakurugenzi wa tume na polisi kujipendekeza Hali kesho tu akipita achelewi kuwaambia Hana pesa za kulipa mishahara anaetaka kufanya kazi afanye asiyetaka aache.
 
Haya ni maoni yako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…