Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amnadi Patrobas Katambi, aahidi kumpa kazi nyingine Stephen Masele

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amnadi Patrobas Katambi, aahidi kumpa kazi nyingine Stephen Masele

Huyu JIWE hajuwi maana ya separation of powers between the three pillars of government. Bunge unatakiwa kuwa muhimili unaojitegemea usiopata amri toka kwa Rais!! Sasa eye anasema wachagueni wabunge sio kwa weledi wao bali kwa vile ni wa ccm hata kama vichwa vyao ni nazi mradi waingie bungeni ili aweze kuwathibiti!! What nonsense; Rais hatakiwa kuwathibiti wabunge bali kuwaheshimu kwa kazi yao ya kuwakilisha maoni ya wananchi. Haya mawazo ya Jiwe ni ya kidikteta!!
Akina Kabudi ndo wanashangilia mpaka makoo yanawauma
 
Tuwekeeni picha
E
20200902_180142.jpeg
 
Kwa hiyo anataka sisi mjini tuchague polygon? Haiwezekani hata mara moja! Katambi hashindi labda akapige mswaki kwanza ili meno yawe meupe?
Ashindi kama tume ni ya Robert armstadam ila kama tume ni mali ya JPM anashinda mchan kweupee.
 
Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie madiwani na wabunge wa CCM kwa sababu ataweza kuwabana.

Zaidi amedai kuwa aliyeongoza kura za maoni Ndugu Steven Masale atampangia kazi ya ukuu wa Mkoa au ubalozi. Picha inayoonekana tayari kuna ugumu katika jimbo hilo kwa kutokukubalika kwa mgombea aliyepitishwa kinyume na pendekezo la kura ya maoni.

Ameendelea kudai kuwa wasiangalie sura nzuri hali iliyoonesha kuwa kwa mtazamo wake Masele anasura nzuri ukimlinganisha na Katambi.

Ila kiuhalisia Masele amkumbatie mwanamke you must feel it ..Sasa huyu Katambi hata mswaki Sina hakika Kama anapiga jamani🤣🤣🤸🤸🤸🤸!
 
Magufuli anaongea kama utani lakini katambi asipopita Fagio litakalopita shinyanga mjini sio la kitoto litafagia wengi akiwemo Masele

Huo ndio tunasema ni udictator. Tunashukuru kwa kuweka record sawa.
 
Back
Top Bottom