Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Nindhani Magufuli anachemka all the time mkuu, jana amesema tugongane bila kinga tufyatuane.Huo ukuu wa mkoa kwanini asipewe Katambi? Magufuli sometimes anachemka mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nindhani Magufuli anachemka all the time mkuu, jana amesema tugongane bila kinga tufyatuane.Huo ukuu wa mkoa kwanini asipewe Katambi? Magufuli sometimes anachemka mnoo
Baadae atasema maendeleo hayana chama.
Endelea kujipa matumainiMagufuli hatoshinda uchaguzi huu , huo ukuu wa mkoa atakaompa Masele atautoa wapi ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mwisho ulivyomalizia, imebidi nicheke tu
Rushwa kakatwa chenge itakuwa na Masele ? Kwa Hiyo apewe mtoa rushwa?Ye si ndo kamtaka katambi wapiga kura walimtaka masere hivi unamuacha vipi masere unamteua aliyepata kura 4
Atawafukuza uwanachama ama?Magufuli anaongea kama utani lakini katambi asipopita Fagio litakalopita shinyanga mjini sio la kitoto litafagia wengi akiwemo Masele
Masele ni another Brain, hastahili kwenda kusema Ndiooooo....Bora akawe Balozi. Bungeni atajiaibishaMASELE UYOView attachment 1556553
Anawavutia pumziAtawafukuza uwanachama ama?
Kuimarisha udiktetaJamaa anawataka wasiofaa ambao hawatafanya majukumu ya kibunge kadri ya katiba bali vile yeye magufuli anavyotaka
Sio sometimes, Meko every time is at mess!!Huo ukuu wa mkoa kwanini asipewe Katambi? Magufuli sometimes anachemka mnoo
Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa vyama vya upinzani hata kama wanafaa.
Amedai kuwa wamchagulie madiwani na wabunge wa CCM kwa sababu ataweza kuwabana. Zaidi amedai kuwa aliyeongoza kura za maoni ya Ndugu Steven Masale atampangia kazi ya ukuu wa Mkoa au ubalozi. Picha inayoonekana tayari kuna ugumu katika jimbo hilo kwa kutokukubalika kwa mgombea aliyepitishwa kinyume na pendekezo la kura ya maoni. Ameendelea kudai kuwa wasiangalie sura nzuri hali iliyoonesha kuwa kwa mtazamo wako Masele anasura nzuri ukimlinganisha na Katambi.
Jamaa anawataka wasiofaa ambao hawatafanya majukumu ya kibunge kadri ya katiba bali vile yeye magufuli anavyotaka
Wanaosema Magufuli hana nia njema na Tanzania sijui kwa nini watu wanashindwa kuwaelewa.
Hata kama kwenye maisha kuna bahati mbaya, huwa najiuliza ilikuwaje huyu jamaa akawa rais?Nindhani Magufuli anachemka all the time mkuu, jana amesema tugongane bila kinga tufyatuane.
Umeiona wapi picha hiyo wakati katiba inampa maguvu ya kuteua yoyote?Picha inayoonekana tayari kuna ugumu katika jimbo hilo
Huyu panya alishinda then akauza jimbo kwa Masele, sasa ccm hawamtaki sababu akiwa Cdm aliwalaza na viatu na Cdm hawamtaki sababu kawasaliti.Du kumbe 2015 Katambi alikataliwa na wana Shinyanga town