No, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology
Kama jambo hujui acha, hujui jinsi mashirika kama WHO ukisema kuna Ebola ni kiasi gani watafaidi na sie kama nchi kutengwaSijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? 😰😰
Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite
Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
Yule Mwele kwa hakika alitumiwa.
Mwele mungu anakuona ulitaka tuingie gharama za bure
Hivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?
Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?
Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
Dah! Ingawa simkubali magu lakini Kwa issue hii sina comment,Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.
Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!
Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.
'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
Kiukweli Zika haikuwepo na Mwele alisema uongo!
Hivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?
Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?
Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Kutokukubaliana na magufuli kwa baadhi ya mambo hakuondoi ukweli kuwa kuna, lobbyist, matapeli, na wasanii, wa kimataifa..kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? [emoji27][emoji27]
Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite
Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
Yule Mwele kwa hakika alitumiwa.
Inawezekana hakutumiwa, lakini blunder aliyoifanya ikaacha nashaka hayo...
..kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.
Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!
Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.
'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
Kutokukubaliana na magufuli kwa baadhi ya mambo hakuondoi ukweli kuwa kuna, lobbyist, matapeli, na wasanii, wa kimataifa
I respect you bro!, but think deeply
No, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology