Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Kabisa president, afu hawa mabeberu wahuni sana wanakupa mkopo unajenga wee ma fly over na barabara miradi ya umeme n.k afu baadae wakiona unaendelea wanakutafutia zengwe wanashusha mabomu kwenye miundo mbinu yote na bado unabaki na deni, stupid beberu
 
Nimecheka sana.Hilo neno tu sijui kama amewahi kulisikia toka kwingine
No, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology
 
Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? 😰😰

Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite

Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
Kama jambo hujui acha, hujui jinsi mashirika kama WHO ukisema kuna Ebola ni kiasi gani watafaidi na sie kama nchi kutengwa
 
Alikuwa mtafiti wa magonjwa Na ukimfuatilia miaka mingi kwa kazi yake maana inamruhusu alikuwa akishapata utafiti anatangaza it's findings.
Sasa ktk utafiti ile aliongelea mengi sana Na kudokezea kuwa makini Na mbu kwa maana kwa hapo mbeleni kuna vimelea vya sampuli ya Zika .
Miaka Na miaka alikuwa anatangaza tafiti Zake kwa Tz.
Bahati mbaya tu ilitokea vile
Hivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?

Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?

Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
 
Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.

Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!

Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.

'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
Dah! Ingawa simkubali magu lakini Kwa issue hii sina comment,

Ninacho hisi ile ilikuwa ni biashara za wakubwa wa dunia,
 
Unaongelea issue Mpya au?
Hivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?

Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?

Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
 
..kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Kutokukubaliana na magufuli kwa baadhi ya mambo hakuondoi ukweli kuwa kuna, lobbyist, matapeli, na wasanii, wa kimataifa
I respect you bro!, but think deeply
 
Mabeberu hawahawa wanatusaidia
Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? [emoji27][emoji27]

Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite

Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
 
Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.

Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!

Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.

'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.

Utaongea chochote ukitakacho ila unaemsingizia mpe na yeye nafasi ya kujitetea tujue ukweli!

Ongea one sided kutafuta huruma utakavyo!

Mimi niamini nina kichaa?

Mpaka nisikilize pande zote mbili!

Na hii “vita ya mabeberu” is a war against nani na kwanini?

Maana madikteta wotw hua wanajenga nonsenses kama hizi kwa makusudi yao maalumu!
 
Kutokukubaliana na magufuli kwa baadhi ya mambo hakuondoi ukweli kuwa kuna, lobbyist, matapeli, na wasanii, wa kimataifa
I respect you bro!, but think deeply

..tatizo la Magufuli ni kuwa kila asiyekubaliana naye anamchukulia kama adui yake na kuanza kumuita majina mabaya.

..sijui kama unamkumbuka Katibu Mkuu wa wizara aliyetofautiana na Magufuli kuhusu makinikia. Magufuli alimuachisha kazi na baadae akamshutumu kuwa ana mawazo ya kishetani.

.. awamu ya 5 imekuja na utamaduni mbaya wa kutokujibu hoja kwa hoja, badala yake hoja zinajibiwa kwa matusi na kuitana majina mabaya.

..sasa katika hili Magufuli ametoa madai kuwa UN-WHO inahujumu nchi yetu. Hii ni mara ya kwanza kusikia Raisi wa Tz anaishutumu UN kwa kutuhujumu.

..Kama UN wanatuhujumu kwanini hatujitoi kwenye umoja huo?
 
No, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology

Wenyewe walitegemea clinical symptoms na sidhani kama walielewa kuwa ukiwa na antibodies ina maana at one point ulipata exposure.... its more of scientific proof than political maana mwanasiasa yeye ataka sifa tu kuwa hakuna ila watoto wanaozaliwa na microcephaly wanaweza kuwepo... too sad
 
Mwele kama alibugi maana ugonjwa wenyewe hata sio tishio kivile hata kama vimelea vipo madhara hayaonekani kwa haraka

Zika fever (also known as Zika virus
disease) is an illness caused by Zika
virus.[71] Most cases have no symptoms,
but when present they are usually mild
and can resemble dengue fever.[71][72]
Symptoms may include fever, red eyes,
joint pain, headache, and a maculopapular
rash.[71][73][74] Symptoms generally last
less than seven days.[73] It has not
caused any reported deaths during the
initial infection.[72] Infection during
pregnancy causes microcephaly and other
brain malformations in some babies.[7][8]
Infection in adults has been linked to
Guillain–Barré syndrome (GBS) and Zika
virus has been shown to infect human
Schwann cells.[75][72]
Diagnosis is by testing the blood, urine, or
saliva for the presence of Zika virus RNA
when the person is sick.[71][73]
Prevention involves decreasing mosquito
bites in areas where the disease occurs,
and proper use of condoms.[73][76]
Efforts to prevent bites include the use of
insect repellent, covering much of the
body with clothing, mosquito nets, and
getting rid of standing water where
mosquitoes reproduce.[71] There is no
vaccine.[73] Health officials recommended
that women in areas affected by the
2015–16 Zika outbreak consider putting
off pregnancy and that pregnant women
not travel to these areas.[73][77] While no
specific treatment exists, paracetamol
(acetaminophen) and rest may help with
the symptoms.[73] Admission to a
hospital is rarely necessary.[72]
-wikipedia
 
Back
Top Bottom