Alikuwa mtafiti wa magonjwa Na ukimfuatilia miaka mingi kwa kazi yake maana inamruhusu alikuwa akishapata utafiti anatangaza it's findings.
Sasa ktk utafiti ile aliongelea mengi sana Na kudokezea kuwa makini Na mbu kwa maana kwa hapo mbeleni kuna vimelea vya sampuli ya Zika .
Miaka Na miaka alikuwa anatangaza tafiti Zake kwa Tz.
Bahati mbaya tu ilitokea vile
Hela ni yake?rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Huyu mtu kauli zake anataka tuje kutengwa, kuna vingine anatakiwa akaushe tu, mbona JK alikua hana hizi tabia..kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Alimtoa kwa mamaako na ndio babaako yule au hujui?Magufuli ni zero anashindwaje kuwa namba moja kwenye utalii porojo porojo tu na visingizio kibao miaka minne ana foka foka tu kama joka la kibisa hivi huyu mshamba kikwete alimtoa wapi
Inasemekana ZIKA inafanana kabisa na DENGUE pia haina dawa kama dengue inawezekana kabisa tuliumwa na ZIKA tukaambiwa ni DENGUE.
Naona una hasira sana dada baada ya kugundua uzuzu wako uliotaka kuifannyia nchiMagufuli ni sadist shetani mwenye Royo mbaya Alivyo mpuuzi alidhani alivyomfukuza angerudi kulia Lia kwake ulimwengu ulimuona ulijuwa ana PHD halisi sio ya kwake ya kuchonga alie tu uraisi wenyewe umemshinda zero kabisa
Kumbe ana kansa ya ziwa?Just imagine familia ya malecela (minus tumbo tumbo) wanajisikiaje, umemfukuza kazi yeye yuko kimya, kapata kazi unamuandama, leo mtoto anajitibu kansa ya ziwa wewe unamsakamna kumharibia jina kabisa, just because wewe ni raisi, pathetic, you sadist
Kiukweli Zika haikuwepo na Mwele alisema uongo!
[/QUOT
pengine kibootBado ana chuki na yule mtoto masikini! Mungu atamlaani Jiwe
Kwa nini Mwele hakufuata utaratibu wa kawaida wa kumuarifu Waziri wa afya kabla hajatoa lile tamko!?
Hichi ndicho alicchokisema Dr. MalechelaNo, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology
Matokeo ya tafitiHivi lilikuwa tamko au alikuwa tu anaelezea research findings?
Nauliza tu.
Hivi hii vita ya kiuchumi tunapambana na nani hasa?
Kama hata hao mliotangaza kwa mbwembwe wahujumu uchumi unaamrisha DPP awasamehe?
Amefanya kama mkuu wa mkoa wa Mbeya.
Kama Mwele ndo the most intelligent woman you know basi nina mashaka na exposure yako.Humjui Mwele!
The most intelligent Woman I know!
Educated, smarter and intellectual!
Beauty with Brain.
Kujenga ni wajibu wake hata ukipewa ww utalazimika kufanya hayo.rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Mfano ukisema maambukizi ya HIV ni asilimia 5 wao (UN AIDS) wananuna maana unapunguza ulaji wao. Hukuona UNHCR wanavyong’ang’ania kuwa bado Burundi si shwaari ili waendelee kupiga? Achana na ghiriba yao hao unaowaona ni washua.Na wewe kwa kuweza ku type hako ka sentensi unajiona unaijua WHO?? Wewe ni tasa tu kwenye ubongo kwa kukariri unayoambiwa na watu wenye chuki.