Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Yes ni mtafiti lakini alikuwa mkurugenzi wa NIMR...
Matokeo yoyote yenye uhatarishi ya ugonjwa kama Zika alipaswa atoe ripoti kwa Waziri, then Rais...
Hivi mnaifahamu Zika lakini?
Matokeo yoyote yenye uhatarishi ya ugonjwa kama Zika alipaswa atoe ripoti kwa Waziri, then Rais...
Hivi mnaifahamu Zika lakini?
Alikuwa mtafiti wa magonjwa Na ukimfuatilia miaka mingi kwa kazi yake maana inamruhusu alikuwa akishapata utafiti anatangaza it's findings.
Sasa ktk utafiti ile aliongelea mengi sana Na kudokezea kuwa makini Na mbu kwa maana kwa hapo mbeleni kuna vimelea vya sampuli ya Zika .
Miaka Na miaka alikuwa anatangaza tafiti Zake kwa Tz.
Bahati mbaya tu ilitokea vile