Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

..kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Kwani uongo, zika iko wapi, Ebola nayo IPO wapi. Kama sio vita ni nn hiyo, emb fafanua kwa upeo wako
 
Hata Ebola iue watu 100 Ummy hatakubali
Hata mmoja hatujasikia zaidi ya WHO kuclaim that, and you're here exaggerating. Upinzani awamu hii Hamna kitu, kwisha habari yenu
 
Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? [emoji27][emoji27]

Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite

Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
Akili zenu zime kojolewa msiojua mambo !!! Hapo hata wazungu na serikali ya Kenya inaweza kuwa sababu ya kuichafua tz Kwa sababu wazungu wamewekeza Kenya hasa katika soko la utalii ambalo unaweza kulivuluga kilahisi Kwa kuitangazia nchi magonjwa
 
Eti atamlaani, wewe ni nani, unamjua Mungu ww, mtajikuta mnajichumia laana wenyewe, mwenzio ni mpango wa Mungu kuongoza hii nchi. Alafu amlaani, mshalaaniwa nyinyi.
Magufuli ndio tafsiri halisi ya laana ndio maana anaishi kwa Chuki visasi kuuwa kutukana Maana amelaanika yeye na kizazi chake
 
Magufuli ni zero anashindwaje kuwa namba moja kwenye utalii porojo porojo tu na visingizio kibao miaka minne ana foka foka tu kama joka la kibisa hivi huyu mshamba kikwete alimtoa wapi
 
Mbona mnadharilisha nchi as if elimu ya immunology mmesoma peke yenu..kuna taratibu za kutoa habari za msiba..lazima kuwe na kigugumizi hasa mnapojua mwathirika atopokea namna gani..sio kurupuka tu..
Angalia NGO zinavopambana na kusaka
Data..unadhani nani wanataka hizo DATA..aibu kwenu sijui mnataka nyie mue marais? Anyway labda 2025.
Huji ninachoongelea! NIMR ina mandate ya ku publish data zake, scientific ones, bila kupitia popote! Alisema kuna seropositivity among our clients diagnosed. This is normal in scientific community! Si ajabu Zika ipo, nani atathubutu kusema kuwa ipo? erology tested positive, Zika ipo, some people are exposed! FINAL!
 
Magufuli ndio tafsiri halisi ya laana ndio maana anaishi kwa Chuki visasi kuuwa kutukana Maana amelaanika yeye na kizazi chake
exactly anayoyafanya Magu ni laana, mtu aliyelaaniwa!
 
Eti atamlaani, wewe ni nani, unamjua Mungu ww, mtajikuta mnajichumia laana wenyewe, mwenzio ni mpango wa Mungu kuongoza hii nchi. Alafu amlaani, mshalaaniwa nyinyi.
Matendo, matamshi, maneno, demeanor, na hisia za Jiwe, yanafanywa na mtu aliyelaaniwa! ni laana tupu. FINAL!
 
Tuna Rais wa ajabu haijawahi tokea!

Rais wa ajabu kwa vipi?? Ni kweli anayoyasema Rais....mabeberu siku zote hutumia watu wa ndani kutekeleza matakwa yao...they are very smart...Tuna Rais anayesema ukweli...Pengine hili ndilo tatizo...lakini kwa hakika sasa nchi hii sasa imepata kiongozi ambaye alipaswa kuja baada ya Mwinyi
 
rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Maendeleo ya Nchi yoyote Duniani yanaanza na "Rasilimali Watu", rasilimali nyinginezo kama madini,mafuta,maliasili mbalimbali ni nyenzo tu ambazo bila Rasilimali Watu yenye Elimu, Ujuzi (skills), Ufahamu, Ubunifu, Uthubutu na UHURU na Haki, Maliasili hizo nyingine hazitokuwa na faida yoyote kwa mTanzania..
 
Rais wa ajabu kwa vipi?? Ni kweli anayoyasema Rais....mabeberu siku zote hutumia watu wa ndani kutekeleza matakwa yao...they are very smart...Tuna Rais anayesema ukweli...Pengine hili ndilo tatizo...lakini kwa hakika sasa nchi hii sasa imepata kiongozi ambaye alipaswa kuja baada ya Mwinyi
Kwa vile unafaidi matunda ya uwepo wa Jiwe, huwezi kuona atrocities anazozifanya. Au unayaona maovu yake lakini kwa vile unafaidi/ndugu yako/kabila lako etc unayafumbia macho! Unayaona mapungufu yake lakini ......nina uhakika unayaona mapungufu yake , tena makubwa , makubwa sana...
Ni sahihi alichomtendea Lisu? Ni sahihi kuwabambikia watu kesi etc?
 
Vita ya kiuchumi, hivi Tanzania Vita ya kiuchumi imeanza baada Ya Magufuli kuwa Rais?
vita ya kiuchumi Tanzania inapigana na taifa gani na ktk bidhaa zipi? A fool leader deceives fool people
Ni swali la msingi sana ila hawatakuelewa walio wengi. Kazi kusifu na kuabudu tu.
 
Na yeye mwenyewe mbona mara nyingi amesema uwongo lakini sisi wananchi ambao waajiri wake, hatujamfukuza?

Kuna wakati mtu anaweza kutoa taarifa isiyo sahihi kutokana na taarifa alizopewa na wasaidizi wake.

Neno vita ya uchumi linatumiwa vibaya.
Mfano/mifano Mkuu.
 
Kwa vile unafaidi matunda ya uwepo wa Jiwe, huwezi kuona atrocities anazozifanya. Au unayaona maovu yake lakini kwa vile unafaidi/ndugu yako/kabila lako etc unayafumbia macho! Unayaona mapungufu yake lakini ......nina uhakika unayaona mapungufu yake , tena makubwa , makubwa sana...
Ni sahihi alichomtendea Lisu? Ni sahihi kuwabambikia watu kesi etc?

Unajua maana ya neno 'atrocities'!!!??? Hebu tueleze hapa maana ya neno hilo kama unafahammu maana yake...Neno ambalo mabeberu hupenda kulitumia ndiyo unatuletea hapa??? Ni nani wanaofanya 'atrocities' kwa maana halisi ya neno hilo kamma siyo mabeberu..Nenda kule Palestine uone kile wanachofanyiwa wapalestina na Israel...nenda Marekani uone watu weusi wanachofanyiwa na polisi wa kizungu...Hapa Tanzania kuna 'atrocities"!!!????
 
Wenyewe walitegemea clinical symptoms na sidhani kama walielewa kuwa ukiwa na antibodies ina maana at one point ulipata exposure.... its more of scientific proof than political maana mwanasiasa yeye ataka sifa tu kuwa hakuna ila watoto wanaozaliwa na microcephaly wanaweza kuwepo... too sad
Ubarikiwe sana. Naomba uelezee zaidi hawa wanasiaa wakuelewe. Halafu magufuli anasema ana PhD! A PhD holder angeliita washauri wake wa mambo ya sayansi wakamwelezea concept uliyoiandika. asante!
 
Unajua maana ya neno 'atrocities'!!!??? Hebu tueleze hapa maana ya neno hilo kama unafahammu maana yake...Neno ambalo mabeberu hupenda kulitumia ndiyo unatuletea hapa??? Ni nani wanaofanya 'atrocities' kwa maana halisi ya neno hilo kamma siyo mabeberu..Nenda kule Palestine uone kile wanachofanyiwa wapalestina na Israel...nenda Marekani uone watu weusi wanachofanyiwa na polisi wa kizungu...Hapa Tanzania kuna 'atrocities"!!!????
Umenielewa kumbe! Sawa mabeberu, as you call them, wanafanya atrocities, swa kabisa, naye Jiwe kawaiga, he is doing the same!
 
hakuna chuki hapo mkuu..achukiwe alikua na nn cha ziada..jaribu kuwa unapanua ubongo ..we zika umeiskia tena kwani ?
Umesoma immunobiology, tuanzie hapo vinginevyo tutapishana sana in our arguments and have a right perspective of the issue at hand!!
 
Back
Top Bottom