hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
Ilikuwa leo katika ibada maalum ya kumuaga Marehemu askofu wa Jimbo kuu la wakatoliki Mbeya iliyofanyika Makao makuu ya baraza la maaskofu Tanzania Kurasini jijini DSM.
Alipopata fursa ya kutoa salam Mh Rais Magufuli alisema sitamumunya maneno, Nampongeza marehemu askofu Chengula kwa mema aliyofanya lakini jambo kubwa moja alilolisimamia katika uhai wake, hasa kupinga ushoga waziwazi, kupinga mapenzi ya jinsia moja.
Rais alisema kuwa Askofu Chengula hakuogopa kuonyesha msimamo wake katika kukemea maovu na mimi nampongeza na namuombea kwa Mungu apate pumziko la amani milele.
Napinga kabisa ushoga kama alivyopinga Askofu Chengula. Aidha aliwapongeza viongozi wote wa dini walioonyesha msimamo wao wa wazi wa kupinga ushoga na kuwaomba wasirudi nyuma, waendelee hivyo hivyo kwani jambo hilo chafu limekemewa katika vitabu vyote vya dini.
My take: Ole wenu mashoga. Ole wenu nyie wachafu mnaotaka kuinajisi nchi yetu. Ole wenu.