johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
usiniulize swali la uchokozi mie thijui bhana mzee.Magufuli nampenda lakini maono yake kila mtu anaepata maendeleo ni lazma aoe mke wa pili? Ina mana yeye ana wake zaidi ya Janeth?
huyu mzee mara zote ameonaga kuongeza mke ndio jambo muhimu maishani wala sio kusoma wala kusomesha. Kumbe ndio mana wasukuma ni wengi afu 80% hawajasomaKatika mambo yote ya kuongea rais kaona la kuongeza mke, tena kwa minajili ya ukabila wa kupendelea kabila lake, ndiyo muhimu?
Mkuu fata maneno usifate matendoMagufuli nampenda lakini ana ushamba wa kisukuma kabisa, maono yake kila mtu anaepata maendeleo ni lazma aoe mke wa pili? Ina mana yeye ana wake zaidi ya Janeth?
Habari yooote hiyo Umeona hapo Tu kama sio wivu uliojaa utopolo kichwani?Katika mambo yote ya kuongea rais kaona la kuongeza mke, tena kwa minajili ya ukabila wa kupendelea kabila lake, ndiyo muhimu?
Habari yooote hiyo Umeona hapo Tu kama sio wivu uliojaa utopolo kichwani?