Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Tatizo si kwamba watu wanatokwa povu.Na huwa anajua kuwatoa povu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo hawatokwi povu vya kutosha.
Tatizo si kwamba watu wanatokwa povu.Na huwa anajua kuwatoa povu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo standards zako na zangu ni tofauti.Unapenda kukomaa na vitu vya kipuuzi sana mkuu.
To the contrary.Tatizo kubwa kwako ni kutojua kuwa wewe ni mndengereko na umezaliwa na kukulia ktk mazingira na tamaduni za kindengereko. Ila unafikiria kwakutumia kiingereza. "Fikra sahihi huja kwakutumia lugha sahihi" Huku sio Marekani mkuu, na hakuwezi kuwa. Sio Kila chaugenini kinatufaa, tuna mila na tamaduni zetu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa nachart na Girlfriend wangu wa Mereran now, nmeona kamuweka huyo Laizer kwenye WhatsApp status. Namuuliza vp anasema eti alitongozwa na huyo mzee akamkataa, ila sasa naona ana dalili zote za kujuta.
Wewe ndiye mkabila pekee Tz uliyebaki, Tangu tarifa hii ije hapa, ni wewe pekee unayeshobokea Jambo Hilo ambalo lishapitwa Wakati kitambo Sana,To the contrary.
Mimi najua ni Mtanzania.
Ningekuwa sijui hilo, hata nisingejihangaisha kujadiliana mambo ya Tanzania.
Huu mjadala tu unakanusha kauli zako.
Magufuli kachemsha kama kawaida yake.
Kashindwa kutoa pongezi zinazounganisha taifa na kutueleza serikali yake inasaidiaje watu.
Kaingiza habari za ukabila na ka patronize Watanzania kwamba wakipata pesa kitu cha kwanza wanachowaza ni kuongeza mke.
Hahaaa. Unalazimisha.Wewe ndiye mkabila pekee Tz uliyebaki, Tangu tarifa hii ije hapa, ni wewe pekee unayeshobokea Jambo Hilo ambalo lishapitwa Wakati kitambo Sana,
Agenda ya ukabila Tz haipo na haitakuwepo, Ila utani ndio Furaha yetu Tz
rejea Aya ya pili mstari wa kwanzaKatika mambo yote ya kuongea rais kaona la kuongeza mke, tena kwa minajili ya ukabila wa kupendelea kabila lake, ndiyo muhimu?
Magufuli does not know how to stay on message.rejea Aya ya pili mstari wa kwanza
Nahisi atakuwa nao kibao tu sema Jane ndo 1st ladyAlimuhonga hawara wake Kabula nyumba ya serikali, wakati Kabula hata hakuwa mfanyakazi stahiki wa serikali.
Siku hizo bado waziri.
Hakuanza leo shobo hizi za kilimbukeni.
Huyo mmasai lazma apongezwe,kutokana bei aliopewa kwa hayo mawe
Kima Cha chini walipaswa kumpa million 15 $,,Us dollars