Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

acha chokochoko....
Hakuna chokochoko hapo. Ni ukweli tu.

Magufuli anavyoharibu kila speech, hata siku ya mazishi yake inaonekana atafufuka aharibu speech ya tanzia juu ya maisha yake.

I mean how does one mess pongezi za mtu aliye atrike Tanzanite?

Badala ya kuongelea utajiri wa maliasiki wa nchi na serikali yake inavyonyanyua wachimbaji, anaongea habari za kuongeza mke na ukabila?

What kind of country bumpkin is this?
 
Tatizo unaona hii ni kazi yangu.

Mpaka hapo hama hujaelewa, ama ni mvivu.

Inawezekana ni mvivu na hujaelewa.

Tatizo lingine, kwa sababu ya uvivu na ujinga wako, huwezi kuona hili jambo kama ni jambo serious.

Halafu nchi inavyozidi kugawanyika kikabila, mtqanza kushangaa na kuulizana, hivi nini kimetukumba? Mbona hatukuwa hivi?

Halafu watu wanaposhindwa kuendeleza uwekezaji kwa kuendekeza kuongeza wake, mtashangaa, mtaukuza, kuna mchawi gani katuloga?

Kumbe ni uvivu wa kufikiri tu kuunganisha kauli za viongozi na muelekeo wa nchi.
He he! Sawa kale kalale ndugu
 
Acha Upuuzi ww
Umeharibikiwa akili mpaka maarifa

ashaongea sasa,kinachokuuma ww nn zaidi!!!
angalia maisha yako Chief
Hakuna chokochoko hapo. Ni ukweli tu.

Magufuli anavyoharibu kila speech, hata siku ya mazishi yake inaonekana atafufuka aharibu speech ya tanzia juu ya maisha yake.

I mean how does one mess pongezi za mtu aliye atrike Tanzanite?

Badala ya kuongelea utajiri wa maliasiki wa nchi na serikali yake inavyonyanyua wachimbaji, anaongea habari za kuongeza mke na ukabila?

What kind of country bumpkin is this?
 
Mawazo ya kula na kulala hata duduwasha anayo.

Changia zaidi ya hapo tujue wewe ni mtu mwenye ubongo, si duduwasha au guluguja anayeenda kwa reflex action.
Mkuu mi ni duduwasha.. kwisha habari..😂
 
Katika mambo yote ya kuongea rais kaona la kuongeza mke, tena kwa minajili ya ukabila wa kupendelea kabila lake, ndiyo muhimu?
Katika mambo yote rais kaongea umeona ambalo unaweza kulichambua kwa usahihi ni hilo pekee la kuongeza mke? Ndiyo muhimu?
 
Ingependeza tungeona picha ya hicho kipande cha Tanzanite cha 7.8B !
Lijipande la Tanzanite
IMG-20200624-WA0027.jpg
 
Katika mambo yote rais kaongea umeona ambalo unaweza kulichambua kwa usahihi ni hilo pekee la kuongeza mke? Ndiyo muhimu?
Kwani hakulisema?

Rais akisema mambo 99 ya maana, na moja la kipuuzi, nina haki ya kuacha yote ya maana, kwa sababu hayana cha kukosoa, nikamulika moja la kipuuzi, lenye cha kukosoa.

Jambo ambalo halina kosa sina haja kusema mengi. Lenye kosa ndilo nahitaji kupaza sauti kulikosoa.

Walio na afya hawahitaji daktari. Mgonjwa ndiye anahitaji daktari.

Sasa unataka niache mgonjwa, nisiumulike ugonjwa ulipo, nimulike pasipo na ugonjwa?

Yani kuna nyumba 100. 99 hazina tatizo la kuwaka moto. Moja ina tatizo, inawaka moto.

Unataka niiache hii nyumba moja inayowaka moto, nisizime moto, niangalie nyumba 99 zingine niseme hizi nyumba nzuri sana haziwaki moto?

Katika mambo yote muhimu ya kusema, rais kaona hilo la kuongeza mke Msukuma ndilo la muhimu?

Yani kujiharishia ajiharishie Magufuli, halafu lawama unipe mimi kwa kusema Magufuli kajiharishia?
 
Nilikuwa nachart na Girlfriend wangu wa Mereran now, nmeona kamuweka huyo Laizer kwenye WhatsApp status. Namuuliza vp anasema eti alitongozwa na huyo mzee akamkataa, ila sasa naona ana dalili zote za kujuta.
 
siasa bwana...msitupoteze

kuna ishu ya membe, zitto kabwe, na kibegi cha kubebea fomu kuandikwa kugombea dola
 
Magufuli nampenda lakini ana ushamba wa kisukuma kabisa, maono yake kila mtu anaepata maendeleo ni lazma aoe mke wa pili? Ina mana yeye ana wake zaidi ya Janeth?
Inamaana hujui ilo. Mke wa pili hivi karbuni kuna shule imepewa jina lake. Awamu ijayo anampa ukuu wa mkoa wa jiji kubwa hapa tz
 
Back
Top Bottom