Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

Kwani kusemwa kuhusu ukabila hayo mambo yameanza Leo..?
Kama ni hivyo basi hata chadema ni chama Cha kikabila maana viongozi wake wengi wachaga!!..
Hivi huwa mnaelewa maana ya utani.. kwani kila ushauri atakaoutoa rais lazima uwe hadharani..? Una uhakika upi wa kusema kuwa rais hajamshauri ikiwa huwa kuna mazungumzo private pia..
Hata hivyo naona watu wameandika humu kwamba jamaa tayari alishameki zamani kabla ya hii hivyo haitishi halafu sio kila kitu lazima mtu ushauliwe!!.. na wapinzani wa humu bongo wataanza kumteta rais anampangia jamaa matumizi maana hawakawii!.. vitu vyengine ni private

Swala sio kulaumu utani wa magufuli swala on how serikali ya magufuli itawalinda matajili kutokurudi kuwa maskini.. sioni shuku yoyote juu ya kauli za magufuli haswa zakiutani kama hivyo.. rais kaongea hajamlazimisha mtu swala la kuongeza mke wa pili mbona Afrika ni kawaida tu! Hivyo chukulia utani tu ndugu.. hapo ingekuwa ni makala ya watu weupe ndo imeelezea kuwa muafrika akipata mali huongeza mke wala msingeng'aka ila kanena magu tena kiutani endapo ndio kiuhalisia hutokea basi imekuwa mada!!..
Mkuu hebu kila mtu afanye chake tusichoshane kwa kauli hizi ambazo si lolote..
Magufuli kaharibu sehemu mbili.

1. Kajenga taswira kwamba Watanzania wakipata hela wanawaza kuongeza mke.

2. Katoa utani wa ukabila kwenye jambo ambalo ulabila hauhusiki, anachochea wapinzani wake waseme ana mawazo ya kikabila, si ya kujenga umoja wa taifa.

Hizi ni facts.

Habari hizi zipo kwenye rekodi ya maneno ya Magufuli.

Mambo mengine sijui inawezekana kamshauri nini kwa faragha ni speculations zako tu.

Unapoongelea jinsi gani serikali ya Magufuli itawalinda matajiri wasiende kwenye umasikini, Magufuli angeweza kuongelea sera za serikali yake zitasaidiaje wachimbaji.

Kaacha kuongelea mambo ya maana kama hayo, kaenda kuongea habari za kuongeza mke Msukuma.

Mpaka hapo kama unatumia akili utaona mapungufu ya vision yake.
 
Ukweli unauma....sijaona ukabila wala uvunjifu wa umoja wa kitaifa mnaoushikia bango kwenye kila jambo mpaka inatia shaka kama mnajua maana yake au mkimsikia tu mwenyekiti (mzee wa faru john) anaongea na nyie mnaiga tu.

Utani ulioongelewa ndio hali halisi lingekuwa ni jambo ambalo halipo usingekuwa mfano usijifanye hujui mambo ya pata pesa ujue tabia ya mumeo au kosa pesa ujue tabia ya mkeo
Umezoea harufu chafu ya choo.

Nikikwambia hapo ulipo pananuka harufu chafu ya choo, huwezi kunielewa.

Kwa sababu hiyo harufu chafu ya choo ni kitu ulichozoea. Umeizoea sana kiasi kwamba hata hujui jwamba hii ni harufu chafu ya chooni, wewe ushaiona harufu ya kawaida tu.

Tunaweza kugombana ukaona nakuvunjia heshima. Kwa sababu nakwambia hapo ulipo pana harufu chafu ya chooni.

Ndipo upeo wako ulipoishia.

Ndipo standards zako zilipoishia.

We are from two very different worlds!
 
Sasa ndio mmeona umuhimu wa kuweka hii Thread kwenye Siasa? JF saa nyingine mnakera sana, mmekuwa pinga pinga tu kama Chadema.
 
Magufuli kaharibu sehemu mbili.

1. Kajenga taswira kwamba Watanzania wakipata hela wanawaza kuongeza mke.

2. Katoa utani wa ukabila kwenye jambo ambalo ulabila hauhusiki, anachochea wapinzani wake waseme ana mawazo ya kikabila, si ya kujenga umoja wa taifa.

Hizi ni facts.

Habari hizi zipo kwenye rekodi ya maneno ya Magufuli.

Mambo mengine sijui inawezekana kamshauri nini kwa faragha ni speculations zako tu.

Unapoongelea jinsi gani serikali ya Magufuli itawalinda matajiri wasiende kwenye umasikini, Magufuli angeweza kuongelea sera za serikali yake zitasaidiaje wachimbaji.

Kaacha kuongelea mambo ya maana kama hayo, kaenda kuongea habari za kuongeza mke Msukuma.

Mpaka hapo kama unatumia akili utaona mapungufu ya vision yake.
Okay wewe mwenye vision kamshauri maana yaonekana unaweza kuwa mshauri wake.. mi ngoja ninywe uji nitulie ila nachojua rais katania I can't take it serious...
 
Huyu jamaa siyo mkabila
IMG-20200616-WA0003.jpg
 
Hongera zake
Rais Magufuli amempigia simu waziri wa madini Mh. Dotto Biteko na kumpongeza mchimbaji mdogo Samimu Laizer aliyeiuzia Serikali kipande kikubwa cha Tanzanite chenye thamani ya sh 7.8 bilioni.

Rais Magufuli amemtania Laizer kwa kusema sasa ataenda kuongeza mke na ikimpendeza aoe mwanamke wa kisukuma

Tukio la makabidhiano ya pande hilo kubwa la kihistoria la Tanzanite lilifanyika wilayani Simanjiro na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Madini mh Biteko.

Pia alikuwepo Gavana wa benki kuu Prof. Luoga, Naibu Waziri wa Madini, Naibu Waziri wa Fedha, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na DC wa Simanjiro mh Chaula aliyemwakilisha RC Mnyeti ambaye hakuwepo kwa sababu ya kupata dharura.

Tukio lilirushwa mubashara na TBC.

Pia soma > Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh Bilioni 7.8

Maendeleo hayana vyama!
 
Wewe ndio mke wa huyo mchimbaji maana umepanic sana!

Sasa Magufuli alikuwa antania tu, tz nzima inajua alikuwa anatania kwahiyo usijali huyo mmeo hata oa mke mwingine
Umeshindwa hoja, umeleta viroja.

Ukitaka viroja, twende huko kwenye viroja.

Rais mzima, mwanamme, kuanza kumkuwadia mtu kwa sababu kapiga hela ya mawe ni jambo la aibu.

Magufuli anaweza kuolewa kwa tamaa yake ya fedha.

Na wewe unayemtetea ukaunganishwa kuwa suria wa bwana wenu.

Acheni uhanithi.
 
New Danga in town
Danga la shanta dalali kuwadi rais mwenyewe.

Itabidi kila mdangaji ajifunze Kisukuma.

Kudadadeki.

Magufuli lazima awashikie akili sana Wabongo wengi.

Anawapeleka kibongobongo na stories wanazopenda za kuongeza mke.

Angepiga policy speech serikali yake inavyoongeza matajiri katika wachimbaji wazawa, watu wengi wangemuona anawapotezea muda.

Na kwa msingi huu, tutalia sana miaka mitano ijayo.

A million flies eat shit, they can't be wrong.

People get the leadership they deserve.
 
Okay wewe mwenye vision kamshauri maana yaonekana unaweza kuwa mshauri wake.. mi ngoja ninywe uji nitulie ila nachojua rais katania I can't take it serious...
Rais huwezi kuwa kila sehemu unapopata fursa wewe unaweka utani.

Hii ilikuwa ni moja ya platform nzuri kwake kuonyesha ni namna gani sera za madini ktk awamu hii ya tano zinaleta manufaa hivyo kuwahimiza wananchi wazione fursa hivyo.

Na wewe kwa akili zako huwezi kuona hii nafasi.
 
Kifupi rais hayuko presidential.

Anaichukulia kazi yake kimzahamzaha.

Wakati ni bonge la platform, angeweza kuongea mambo mengi sana ya muhimu.

Yeye anaenda kuongea mambo ya kuongeza mke.

Rais anatakiwa ku "stay on message".

Kumpa mpinzani wako neno la kusema tu ni makosa.

Sasa kuna watu walikuwa wanasema Magufuli ni mkabila.

Kwa kutaja habari za ukabila tu, hata kwa utani, anawapa msemo.

Kuna watu walikuwa wanasema Watanzania ni wavivu, wakipata hela hawajui kuwekeza, wanajua kuongeza mke tu.

Kwa kauli hizi za Magufuli, watu waliosema hivyo, wanaongezewa nguvu, kwa maneno ya rais.

Watasema "si mnasikia hata rais wao mwenyewe anasema hivyo?".

Magufuli is a country bumpkin.
 
Magufuli nampenda lakini ana ushamba wa kisukuma kabisa, maono yake kila mtu anaepata maendeleo ni lazma aoe mke wa pili? Ina mana yeye ana wake zaidi ya Janeth?
Anaeo. Janeth ni official ...wengine ni wadau tu
 
Danga la shanta dalali kuwadi rais mwenyewe.

Itabidi kila mdangaji ajifunze Kisukuma.

Kudadadeki.

Magufuli lazima awashikie akili sana Wabongo wengi.

Anawapeleka kibongobongo na stories wanazopenda za kuongeza mke.

Angepiga policy speech serikali yake inavyoongeza matajiri katika wachimbaji wazawa, watu wengi wangemuona anawapotezea muda.

Na kwa msingi huu, tutalia sana miaka mitano ijayo.

A million flies eat shit, they can't be wrong.

People get the leadership they deserve.
Dada usiwe na wivu sana

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Okay wewe mwenye vision kamshauri maana yaonekana unaweza kuwa mshauri wake.. mi ngoja ninywe uji nitulie ila nachojua rais katania I can't take it serious...
Tatizo unaona hii ni kazi yangu.

Mpaka hapo hama hujaelewa, ama ni mvivu.

Inawezekana ni mvivu na hujaelewa.

Tatizo lingine, kwa sababu ya uvivu na ujinga wako, huwezi kuona hili jambo kama ni jambo serious.

Halafu nchi inavyozidi kugawanyika kikabila, mtqanza kushangaa na kuulizana, hivi nini kimetukumba? Mbona hatukuwa hivi?

Halafu watu wanaposhindwa kuendeleza uwekezaji kwa kuendekeza kuongeza wake, mtashangaa, mtaukuza, kuna mchawi gani katuloga?

Kumbe ni uvivu wa kufikiri tu kuunganisha kauli za viongozi na muelekeo wa nchi.
 
Umeshindwa hoja, umeleta viroja.

Ukitaka viroja, twende huko kwenye viroja.

Rais mzima, mwanamme, kuanza kumkuwadia mtu kwa sababu kapiga hela ya mawe ni jambo la aibu.

Magufuli anaweza kuolewa kwa tamaa yake ya fedha.

Na wewe unayemtetea ukaunganishwa kuwa suria wa bwana wenu.

Acheni uhanithi.
Usijali dada yetu, Magufuli alikuwa anatania tu, mume wako yule hawezi kuoa mke wa pili maana anakupenda sana!

Hela za yale mawe atatumia na wewe mke wake tu.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Okay wewe mwenye vision kamshauri maana yaonekana unaweza kuwa mshauri wake.. mi ngoja ninywe uji nitulie ila nachojua rais katania I can't take it serious...
Achana nae huyo mwanamke anaona wivu sana itakuwaje jamaa yake akichukua mke wa pili! Hajui kama rais alikuwa amechomekea utani tu ule!
Yani katika yote aliyoongea rais ameona lile ndio la kukomalia! Mwanamke ana wivu sana huyo.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Straight to ignore list you diseased ass faggot.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kiranga, Sasa ndio itanipunguzia kitu gani?

Wewe unataka wote hapa tuwe na mtazamo wako wa kipumbavu? Unda group lako la whatsapp uwajaze hao wapumbavu wenzio mtakaokuwa mnajadili huo upumabvu huko.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Alimuhonga hawara wake Kabula nyumba ya serikali, wakati Kabula hata hakuwa mfanyakazi stahiki wa serikali.

Siku hizo bado waziri.

Hakuanza leo shobo hizi za kilimbukeni.
Duuuh watu mnazipata wapi hizi habar
 
Back
Top Bottom