Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Rais kufanya utani kwenye jambo linaloweka mazingira ya ukabila na kuvunja umoja wa taifa unaona sawa?Haiwezekani katika yote mazuri yaliyofanyika leo umetoka na hiyo kauli ya utani jamani punguzeni hasira na wivu haziwasaidii wala kubadilisha chochote....hayo mambo ya kusubiri kauli za mkuu na kuzijengea hoja as kichochezi hazitawafikisha popote...kilichoongelewa hapo ndio kitu kinachofanywa na wanaume dunia nzima wakipata pesa hakuna cha ajabu hapo
Na kwenye ku patronize Watanzania kwamba ni watu ambao wakipata hela tu wanawaza kuongeza mke umeona sawa?
Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba tuna standards tofauti.
Wewe umezoea kukaa karibu na choo kinachonuka.
Umeizoea hiyo harufu ya choo kinachonuka, unaona ni kawaida.
Mimi nimekaa sehemu yenye hewa safi, nakuambia, hapo ulipo kuna harufu mbaya ya choo.
Harufu hiyo ukivuta hewa ya hapo, maana yake unavuta uchafu, utapata maradhi.
Wewe unaona ninakuza jambo dogo.
Huwezi kunielewa, kwa sababu hiyo harufu chafu ni kitu ulichokizoea.