Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

Magufuli, watu watakupondaaa wewe ila ulichodhamilia kufanya kwa ajili ya nchi yako hakitasahaulika,

Na kawaida ya maisha ya MWANADAMU ni lazima kuwepo na dhiki, hatuwezi kutarajia mema pekee kutoka kwako, ingelikuwa ni hivyo, basi mitume wote walio wahi ishi hapa duniani wasingeliona dhiki

Tuko duniani na bado Sisi sote ni Binadamu, na wewe pia ni Binadamu, Ila uliyolifanyia Taifa Lako utakumbwa sana
 
Magufuli, watu watakupondaaa wee Ila ulichodhamilia kufanya Kwa ajiri ya nchi yako hakitasahaulika,

Na kawaia ya maisha ya MWANADAMU ni lazima kuwepo na dhiki, hatuwezi kutarajia mema pekee kutoka kwako, ingelikuwa ni hivyo, basi mitume wote walio wahi ishi hapa duniani wasingeliona dhiki

Tuko duniani na bado Sisi sote ni Binadamu, na wewe pia ni Binadamu, Ila uliyolifanyia Taifa Lako utakumbwa sana
Magufuli ni mshamba ambaye hata kwenye kumpongeza mtu aliye strike Tanzanite, anaharibu kwa kuleta habari za ku patronize Watanzania kama watu ambao wakipata pesa wanaendekeza kuoa, tena anasema hayo kwa minajili ya ukabila na kupendelea kabila lake.
 
Magufuli ni mshamba ambaye hata kwenye kumpongeza mtu aliye strike Tanzanite, anaharibu kwa kuleta habari za ku patronize Watanzania kama watu ambao wakipata pesa wanapendeleza kuoa, tena anasema hayo kwa minajili ya ukabila na kupendelea kabila lake.
Unauhakika Magufuli ni msukuma? Kwa sababu anakaa ukanda huo siyo?

Ukabila unaukuza wewe mkuu!
 
Magufuli nampenda lakini ana ushamba wa kisukuma kabisa, maono yake kila mtu anaepata maendeleo ni lazma aoe mke wa pili? Ina mana yeye ana wake zaidi ya Janeth?
tunataka majibu sio maswali
 
Hivi mnaposema mchimbaji mdogo mna maanisha nini? Hivi mchimbaji mdogo wa sululu ndio kapata kilo 9 na point za Tanzanite? Mchimbaji mdogo ina maana yeye ndiye aliyekuwa anachimba na sululu chini ya ardhi?
Huyo ana miliki makarasha kibao
 
Sasa serikali wanaenda kuliuza waooo
Biashara network naona

Ova
 
Hivi mnaposema mchimbaji mdogo mna maanisha nini? Hivi mchimbaji mdogo wa sululu ndio kapata kilo 9 na point za Tanzanite? Mchimbaji mdogo ina maana yeye ndiye aliyekuwa anachimba na sululu chini ya ardhi?

Siyo Kg 9 ni 15 kg jumla!
Wastani wa 520K per gram!
 
Katika mambo yote ya kuongea rais kaona la kuongeza mke, tena kwa minajili ya ukabila wa kupendelea kabila lake, ndiyo muhimu?

Kwa hiyo wewe na akili yako umeona hilo nalo ni neno unataka tujadili?
Kwa hiyo ungependa amseme mama yako ili ufulahi?
Utani hauna haja ya kujadiliwa, lete hoja ya kujenga na sio ya utani.
 
Back
Top Bottom