James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Ndani ya wiki Arusha itajaa watafuta Tanzanite....
Hizo pesa sijui kama ntakuja kamata...hapa ndo unafikiria yeye aliyeacha shule akaenda tafuta madini na kupata na wewe uliyeacha madini na kwenda kutafuta kijielimu nani mwerevu ktk maisha ya sasa......duh...