Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

Wewe kwanza jifunze kuandika Kiswahili kabla ya kujadiliana nami.

Inaonekana una utapiamlo wa elimu.

Neno sahihi la Kiswahiki ni "furahi" si "fulahi".

Wewe nawe ni country bumpkin usiyejya tofauti ya "r" na "l" kama Magufuli?

Hiyo ndiyo sababu unajishebedua hapa dhidi yangu?

Mimi sio mwalimu wa kiswahili kwa hiyo kama ujumbe umepata hayo mengine ni mbwembwe tu
 
Huyo jamaa kama si mwana chama wa hiki chama chetu basi atapewa kadi fastaaaaaaa.....
 
Wewe kwanza jifunze kuandika Kiswahili kabla ya kujadiliana nami.

Inaonekana una utapiamlo wa elimu.

Neno sahihi la Kiswahiki ni "furahi" si "fulahi".

Wewe nawe ni country bumpkin usiyejya tofauti ya "r" na "l" kama Magufuli?

Hiyo ndiyo sababu unajishebedua hapa dhidi yangu?

Unajifanya kujua wakati pia unakosea,
Hilo neno "usiyejya" lina maana gani kwenye kiswahili?
 
Unajifanya kujua wakati pia unakosea,
Hilo neno "usiyejya" lina maana gani kwenye kiswahili?
Tofautisha typographical error inayotokana na ku type kwenye simu (herufi y na u zipo kirani kwenye keyboard) na kutojua tofauti ya "l" na "r" katika Kiswahili.

Kutojua tofauti ya "l" na "r" kwenye Kiswahili ni alama ya ushamba na elimu duni.

Magufuli naye hajui tofauti hii. Ni mshamba. Mtu mwingine ambaye hajui tofauti hii ambaye ni mshamba kama Magufuli, naweza kuelewa asiponielewa.
 
Hapa hata sijaelewa unataka kujenga point gani.

Uwezo wako wa kujieleza naona una matatizo.

Magufuli kufanya kosa la kuchomeka ukabila katika suala ambalo halina ukabila kusitufanye sisi wananchi tuseme Tanzania ina makabila zaidi ya mia?

Wapi nimesema Tanzania ina makabila zaidi ya mia? Mimi sitaki kuongelea makabika, nataka rais atuunganishe kwa kuongelea Watanzania bila makabila, sasa hapo utasemaje naongelea Tanzania ina makabila zaidi ya mia?

Yani kujiharishia ajiharishie Magufuli, halafu lawama utupe sisi tunaosema Magufuli kajiharishia?
Sawa kabisa mkuu, hata hivyo wewe ni muokoteza vijimakosa vidogovidogo na kujitafutia umaarufu, endelea
 
Hivi mnaposema mchimbaji mdogo mna maanisha nini? Hivi mchimbaji mdogo wa sululu ndio kapata kilo 9 na point za Tanzanite? Mchimbaji mdogo ina maana yeye ndiye aliyekuwa anachimba na sululu chini ya ardhi?

Natamani watu wajibu hii hoja
 
Sawa kabisa mkuu, hata hivyo ni muokoteza vijimakosa vidogovidogo na kujitafutia umaarufu, endelea
Kosa la kuwagawa wananchi kwa ukabila, katika Tanzania ya leo ambayo kuna malalamiko ya nchi kumeguka kwa ukabila na Magufuli kuteua watu kwa ukabila, unaliita kosa dogo?

Mimi niliukimbia umaarufu Tanzania.

Nitatafuta vipi umaarufu kwa jina la kujificha JF? Unisaidie nini?

Wengine umaarufu tumeukuta familia zetu tangu enzi za LEGCO na enzi Azania Front linajengwa 1903.

Ni kitu tulichokikimbia, si cha kutafuta.
 
Kumbe uko huko unalishwa uwongo na kuushobokea
 
Kosa la kuwagawa wananchi kwa ukabila, katika Tanzania ya leo ambayo kuna malalamiko ya nchi kumeguka kwa ukabila na Magufuli kuteua watu kwa ukabila, unaliita kosa dogo?

Mimi niliukimbia umaarufu Tanzania.

Nitatafuta vipi umaarufu kwa jina la kujificha JF? Unisaidie nini?

Wengine umaarufu tumeukuta familia zetu tangu enzi za LEGCO na enzi Azania Front linajengwa 1903.

Ni kitu tulichokikimbia, si cha kutafuta.

Inawezekana wewe ni membe? Maana unafuatilia vitu vidogo sana,
Raisi magufuli alishamwambia mtu akaoe mgogo dodoma pale, sasa hapo alitumia ukabila gani?
Tujadili vitu vya maana, acheni majungu.
 
Rais Magufuli amempigia simu waziri wa madini Mh. Dotto Biteko na kumpongeza mchimbaji mdogo Samimu Laizer aliyeiuzia Serikali kipande kikubwa cha Tanzanite chenye thamani ya sh 7.8 bilioni.

Rais Magufuli amemtania Laizer kwa kusema sasa ataenda kuongeza mke na ikimpendeza aoe mwanamke wa kisukuma

Tukio la makabidhiano ya pande hilo kubwa la kihistoria la Tanzanite lilifanyika wilayani Simanjiro na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Madini mh Biteko.

Pia alikuwepo Gavana wa benki kuu Prof. Luoga, Naibu Waziri wa Madini, Naibu Waziri wa Fedha, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na DC wa Simanjiro mh Chaula aliyemwakilisha RC Mnyeti ambaye hakuwepo kwa sababu ya kupata dharura.

Tukio lilirushwa mubashara na TBC.

Pia soma > Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh Bilioni 7.8

Maendeleo hayana vyama!
Huu upumbavu muwe mnawadanganya kijani wenzenu mnapanga mijinga ili kuficha maupumbavu yanayoendelea
 
Tofautisha typographical error inayotokana na ku type kwenye simu (herufi y na u zipo kirani kwenye keyboard) na kutojua tofauti ya "l" na "r" katika Kiswahili.

Kutojua tofauti ya "l" na "r" kwenye Kiswahili ni alama ya ushamba na elimu duni.

Magufuli naye hajui tofauti hii. Ni mshamba. Mtu mwingine ambaye hajui tofauti hii ambaye ni mshamba kama Magufuli, naweza kuelewa asiponielewa.

Kwa wajinga kama wewe ndo unaweza kung'ng'ania vitu ambavyo haviwezi kubadilisha maisha yako, herufi kwa kiswahili haiwezi kubadili maana kama kiingereza, sanasana ni lafudhi tu katika kutamka kulingana na kabila.
 
Huyu mzee yeye anawaza wanawake tu!
 
Kwa wajinga kama wewe ndo unaweza kung'ng'ania vitu ambavyo haviwezi kubadilisha maisha yako, herufi kwa kiswahili haiwezi kubadili maana kama kiingereza, sanasana ni lafudhi tu katika kutamka kulingana na kabila.

Nilipokemea ukabila napo ni ujinga?

Ukikosea herufi kwenye password. Mtu kakwambia password ni "furaha01", wewe unaandika password "fulaha01", hapo hata kama ilikuwa ufanye muamala wa hela kubwa, utakuwa umeshindwa.

Na ukijaribu mara tatu unaweza kufanya account ifungwe.

Tatizo unafikiri kizamani na kishamba na ndiyo maana hatuwezi kuelewana.
 
Yani ametawaliwa na mawazo ya ngono kila sehemu anayokuwa lazima achomekee ngono. Ndiyo maana watu wanampa makavu kuhusu Angella, Ummy, Zenabu na Jokate
 
Back
Top Bottom