Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Reagents na loopsticks zinaagizwa na MSD
 
Alitenguliwa Alikuwa Anatumiwa Na Mabeberu
 
Ummy Mwalimu is next.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Unmy Mwalimu kamkingia sana kifua huyu Bwanakunu kwa sababu alikuwa ni Serengeti Boy wake. Bwanakunu hakuwa na sifa za ile kazi. Mbali na kushiriki ngono walikuwa wanashiriki ufisadi kwa kugawana fedha zitokazo kwa supplier BAHARI PHARMACY ambaye Bwanakunu alikuwa anampa zabuni zote.

TAKUKURU wakiweka kambi wiki moja tu pale MSD kwenye zabuni za delivery kits, Bwanakunu hawezi chomoka.

Na kama Rais anataka ufanisi wa MSD kupitia KM na CMO Mpya, shurti amuondoe Waziri Ummy Mwalimu
 
Hi sio military state kama Egypt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu Brigadia Mpinize mkuu wa hospital ya jeshi Lugalo kuteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa MSD nakuaminia

I salute you boss
 
Bado mtwara tutawafikia tu


It is never too late to begin. Start now
 
Duh

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Dadeki!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…