nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,935
Tena saaanaa, anajua anachofanya ni kinyume na sheria ivyo anajua akiwatenga watsmpindua kama mugabe.Jeshi analiogopa!
MCHAWI MPE MTOTO AMLEE
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena saaanaa, anajua anachofanya ni kinyume na sheria ivyo anajua akiwatenga watsmpindua kama mugabe.Jeshi analiogopa!
Hiyo ni kazi ya FDA na siyo MSD.Aende akakague hizi barakoa zinazotoka kwa ndugu zetu wa China ambazo zinatuletea maambukizi. Yaani wachina niliwaachia milango wazi na nikaapa ni ndugu zetu wa kufa kufaana, leo wanatuletea virusi?
Alisikika mlevi mmoja baada ya kunywa chupa kadhaa za Madagascar Lager.
Mbona akiteuliwa mkufunzi wa chuo kikuu kuongoza Taasisi ya serikali hakuna shida..mi nadhani as a poor country we need to use all of our means kufika tunapotaka...ata ikibidi kutumia mfungwa ambaye ana kipaji na iwe hivyo.
Hakuna shidaJeshi analiogopa!
Haogopi Jeshi, bali anawateua kwa kuwa ni wazalendo wa kweli waliobaki hawana tamaa ya kuiba kama hawa raia wengine...Jeshi analiogopa!
Sasa umeandika Nini weweeMuda uliobaki ni mchache mno, ila Mh. Ummy ali relax mno, maana maadui wangeweza hata kumuambukiza rais wetu COVID kwa sababu ya kukosa umakini kwa wizara husika. Maana haiingii akilini ugonjwa uanze kuua China Dec then sisi hata maandalizi hatuna, yaani hata vifaa tiba hatuna then waziri upo upo tu (nasikia wizara ya afya wamejaa majungu, wanamchukia sana rais kwa sababu kabana mianya yote ya rushwa na matumizi ya ovyo ambayo baadhi ya watu walikua miungu watu). Hivyo Mh. Ummy alipaswa asafishe nyumba yake haraka sana kabla ya janga ili kuwaondolea hofu watanzania lakini yeye alijikita kutangaza vifo tu.
Inasemekana hata uyo alokwepo hakua mfamasiaHakuna mfamasia wa kuteuliwa?
Hii wizara ilibidi iongezewe naibu Katibu mkuu na naibu waziri watakao deal na magonjwa ya mlipuko au igawanywe na Mambo ya wanawake,watoto na wazee itengenezwe wizara..Afya is too big and important to mix it with other social issues...mlioko Karibu na Rais Tafadhali mfikishie ujumbe huu..msijali Nani katoa wazo, you can actually own the idea(I don't mind at all) as long as jamii yetu unapata nafuu na mabadiriko ya kimfumo na utawala.
By the way..China wanatumia kila mtu wao Hadi wafungwa kujenga uchumi wao sembuse Mjeda!?Mbona akiteuliwa mkufunzi wa chuo kikuu kuongoza Taasisi ya serikali hakuna shida..mi nadhani as a poor country we need to use all of our means kufika tunapotaka...ata ikibidi kutumia mfungwa ambaye ana kipaji na iwe hivyo.
Ni kweli Unmy Mwalimu kamkingia sana kifua huyu Bwanakunu kwa sababu alikuwa ni Serengeti Boy wake. Bwanakunu hakuwa na sifa za ile kazi. Mbali na kushiriki ngono walikuwa wanashiriki ufisadi kwa kugawana fedha zitokazo kwa supplier BAHARI PHARMACY ambaye Bwanakunu alikuwa anampa zabuni zote.
TAKUKURU wakiweka kambi wiki moja tu pale MSD kwenye zabuni za delivery kits, Bwanakunu hawezi chomoka.
Na kama Rais anataka ufanisi wa MSD kupitia KM na CMO Mpya, shurti amuondoe Waziri Ummy Mwalimu
Ni kweli Unmy Mwalimu kamkingia sana kifua huyu Bwanakunu kwa sababu alikuwa ni Serengeti Boy wake. Bwanakunu hakuwa na sifa za ile kazi. Mbali na kushiriki ngono walikuwa wanashiriki ufisadi kwa kugawana fedha zitokazo kwa supplier BAHARI PHARMACY ambaye Bwanakunu alikuwa anampa zabuni zote.
TAKUKURU wakiweka kambi wiki moja tu pale MSD kwenye zabuni za delivery kits, Bwanakunu hawezi chomoka.
Na kama Rais anataka ufanisi wa MSD kupitia KM na CMO Mpya, shurti amuondoe Waziri Ummy Mwalimu
Baada ya hapa kuna kishindo kingine cha tumbua teua kitafuata stay tuned...Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi (JWTZ), Lugalo
Anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa
View attachment 1438924
Uzuri vyombo vya uchunguzi vipo na kumbukumbu zipo. TAKUKURU wasisubiri kutumwa na RAIS, WAJIONGEZE WENYEWE na kashfa ya kuanzia nimewapa. Delivery kits kwa Bahari Pharmacy.
Kwani ni uzushi? Wanawake wenye tamaa ya hela na umaarufu wanadhalilishwa sana na vijana wadogo. Mbona mwenyewe Bwanakunu alikuwa anatamba kuwa huwezi kumfanya lolote kwa vile ana ukaribu na WaziriMke wa mtu huyo jamani. Msizushe mambo ya uongo na kuharibu ndoa za watu. Siyo vizuri kabisa.
Kwani ni uzushi? Wanawake wenye tamaa ya hela na umaarufu wanadhalilishwa sana na vijana wadogo. Mbona mwenyewe Bwanakunu alikuwa anatamba kuwa huwezi kumfanya lolote kwa vile ana ukaribu na Waziri