Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Kwenye mtihani ndio ungejibu hivi?

Logistics ni movement of material from source/origin to point of consumption. Sasa complexity ya ku excute hii operations iko wapi hadi ihitaji gwiji? Na pia trend of consumption ni lazima iwe monitored na medical personnel maana ndio anajua dawa gani demand yake iko juu na kwa wakati gani...na hii inarahisishwa na mifumo ya kieletroniki.
Logistics sio simple kama unavyodhani, kwanza unahitaji kuwa intensive kwenye data collection, mathalan madawa kwenye vituo vyote vya afya Tz, unatakiwa ufanye forecasts.

Baada ya hapo uwe na supply chain ujue madawa yanakwendaje kwenye vituo, yanatunzwaje, n.k

MSD waliwekewa mfumo wa kisasa na US government kupitia shirika la JSI
 
Tatizo ni nini hasa? Maadili ya viongozi wa umma yameshuka hadi Rais kuwateua watendaji wanajeshi kushika nyadhifa hizi?

Je ni nani kayashusha? Sababu CCM ndiyo umtawala nchi hii tangu Uhuru!!
 
Tatizo ni nini hasa? Maadili ya viongozi wa umma yameshuka hadi Rais kuwateua watendaji wanajeshi kushika nyadhifa hizi?

Je ni nani kayashusha? Sababu CCM ndiyo umtawala nchi hii tangu Uhuru!!
Mkuu FUSO ,hili swala inabidi tulijadili kwa kuwa na uzi wake hapa,maana kwa mustakabari mwema wa Tanzania,hili ni la msingi.
 
Kwani appointing authority yake ni waziri, mbona mnapenda kuunganisha vitu cha kitoto, au waziri ni appointing authority ya takukuru
Hayo majibu mtayatolea kwa Mahakamani, sisi huku mchezo umekwisha
 
Sasa wewe mwenye akili unajua sababu za Mkurugenzi huyo kutumbuliwa, mbona unaongea mambo ya kitoto?? Ambayo hayapo???
Ni vizuri ukaomba msamaha kwa fikra zako potofu
Sababu za yule Bwanakunu kutumbuliwa utazipata muda si mrefu kwa vile yuko kwenye mikono salama pale PCCB
 
‪Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi (JWTZ), Lugalo‬

‪Anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa‬

View attachment 1438924

UPDATE: 04-05-2020

View attachment 1439595
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, Laurean Rugambwa akimkabidhi ofisi Mkurugenzi Mkuu Mpya Brig. Jen Dkt. Sauli Mhidize
​
Nimeupenda uteuzi huu sana.Wanajeshi huwa mara nyingi wanakuwa waaminifu sana,nadhani kwa sababu ya nature ya mafunzo yao.Hongera sana Rais Magufuli.Natamani sana TPA na TRA kuwe na wanajeshi.Ni maeneo ambayo yako strategic sana kwa mustakabali mpana wa taifa letu.
 
Leo ndio umepata bando, nini? Naomba unisamehe.
Sasa wewe mwenye akili unajua sababu za Mkurugenzi huyo kutumbuliwa, mbona unaongea mambo ya kitoto?? Ambayo hayapo???
Ni vizuri ukaomba msamaha kwa fikra zako potofu
 
Nimeupenda uteuzi huu sana.Wanajeshi huwa mara nyingi wanakuwa waaminifu sana,nadhani kwa sababu ya nature ya mafunzo yao.Hongera sana Rais Magufuli.Natamani sana TPA na TRA kuwe na wanajeshi.Ni maeneo ambayo yako strategic sana kwa mustakabali mpana wa taifa letu.
aisee . . . kweli pia sometimes. Tena taasisi kama TPA ndiyo kabisa inatakiwa mwanajeshi ila tu awe na knowledge ya shipping na business acumen pia. Ni nyeti sana kulingana na majukumu yake, mchango wake kwa uchumi wa taifa pamoja na hekaya za kiusalama na kimkakati ndani ya nchi yetu. Deusdedit Kakoko anafanya kazi nzuri sana na anastahili kupongezwa maana amedhibiti vilivyo upigaji, wizi na uhuni bandarini. Kama ni kumpa mwanajeshi basi vema mjeshi huyo awe trained na ni lazima awe strategic pia kibiashara. Kama hajafikia vigezo hivyo waacheni raia waadilifu waendelee kuviongoza vyombo hivyo.
 
Kwanza kwa kutumia neno panadol as your reference point , umeisha onyesha anakwenda mahali pa low level , nia yako ya kutaka kujua kama kapanda au kashuka linakuwa distorted, ndio maana umejibiwa hivyo.
NI KWA VIPI PANADOL NI LOWA LEVEL? INA MAANA BOSS WA IKULU HAWEZI KUNYWA PANADOL? nAYE NI LOWA LEVEL?
 
Acha wazalendo wakapige kazi maana wengine wanawaza kupiga tu.
 
NI KWA VIPI PANADOL NI LOWA LEVEL? INA MAANA BOSS WA IKULU HAWEZI KUNYWA PANADOL? nAYE NI LOWA LEVEL?
Any it is waste of time na energy to discuss this with U, may be on other issues which u will come up with a meaningful points
 
aisee . . . kweli pia sometimes. Tena taasisi kama TPA ndiyo kabisa inatakiwa mwanajeshi ila tu awe na knowledge ya shipping na business acumen pia. Ni nyeti sana kulingana na majukumu yake, mchango wake kwa uchumi wa taifa pamoja na hekaya za kiusalama na kimkakati ndani ya nchi yetu. Deusdedit Kakoko anafanya kazi nzuri sana na anastahili kupongezwa maana amedhibiti vilivyo upigaji, wizi na uhuni bandarini. Kama ni kumpa mwanajeshi basi vema mjeshi huyo awe trained na ni lazima awe strategic pia kibiashara. Kama hajafikia vigezo hivyo waacheni raia waadilifu waendelee kuviongoza vyombo hivyo.
Mkuu hiyo siyo shida.Majeshi huwa yana watu ambao wako trained kwenye displines zote,just in case.Naamini jeshi letu sio tofauti na majeshi mengine.
 
Back
Top Bottom