Kama bwanakunu amabayao ni sociologist aliweza,, na hakuwa na uzoefu katika suala hili unadhani mjeda huyu atashindwa na uzoefu alionao juu ya medicine na supply chain?
Hii ni kampuni ya usambazaji wa vitu vya Afya sio hospitali. Kama angekuwa na uzoefu wa kazi za usambazaji isingekuwa Tatizo lakini kuna tofauti kubwa sana ya uongozi wa kampuni ya usambazaji na hospitali kama muhimbili au Bugando. Ni ujuzi tofauti sana. Hii ni nafasi ambayo wangetakiwa kumtafuta mtu kutoka kwenye biashara za usambazaji. Sio lazima kila kazi to hamishe watu kazi nyingine kama hizi zingekuwa bora kuajiri manager kutoka kampuni mojawapo ya usambazaji.