Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
Huwezi kuelewa
Huwezi kuelewa
Ni kweli Unmy Mwalimu kamkingia sana kifua huyu Bwanakunu kwa sababu alikuwa ni Serengeti Boy wake. Bwanakunu hakuwa na sifa za ile kazi. Mbali na kushiriki ngono walikuwa wanashiriki ufisadi kwa kugawana fedha zitokazo kwa supplier BAHARI PHARMACY ambaye Bwanakunu alikuwa anampa zabuni zote.
TAKUKURU wakiweka kambi wiki moja tu pale MSD kwenye zabuni za delivery kits, Bwanakunu hawezi chomoka.
Na kama Rais anataka ufanisi wa MSD kupitia KM na CMO Mpya, shurti amuondoe Waziri Ummy Mwalimu
Inasemekana hata uyo alokwepo hakua mfamasia
Kufanya kazi na yule bwana shida sana. Mara akuamrishe upeleke sampuli za mapapai. fenesi, kwale, mbuzi... kwenye maabara! Mara aamrishe uhamasishe matumizi ya nyungu! Yale mambo ambayo haukufundishwa chuo kikuu. Halafu anajiona ana akili sana. Eti ana-think outside the box. Ukiangalia kisayansi, Mkurugenzi wa MSD alitumbuliwa wala hana kosa lolote. Vipimo vyote huwa vina false positives and false negatives. Mwanajeshi hawezi kubadili ukweli huu. Na isitoshe, wakati vipimo vinatengezwa havikujaribiwa kwenye mapapai wala kwale. Vilijaribiwa kwa binadamu. Kwa hiyo hakuna mtu anayejua matokeo ya vipimo katika sampuli za mafenesi, kwale na mapapai.
Kama hujui tulia ujuzwe. Hakuna asiyeyajua mahusiano yaoWewe katika mawazo yako ukaribu = ngono. Yaani mtu akisema wewe uko karibu na mama na baba yako, utafikiriaje? Waziri anakuwa karibu na wakuu wote wa vitengo - NIMR, TFDA, MSD, TFN, Mkemia wa Serikali nk. Uone aibu kusema uongo. Ummy ana njaa gani ya kujiuza? Katubu dhambi yako hiyo ya uongo.
FDA au TFDA mkuu? SamahaniHiyo ni kazi ya FDA na siyo MSD.
NaamKama hujui tulia ujuzwe. Hakuna asiyeyajua mahusiano yao
Kwani ulisikia MSD ni logistics company?Hii nafasi inahitaji mtu anayejua sana idara ya usambazaji na ununuzi supply chain management na sio lazima ajue au awe mtu aliyesomea medical.
Kwani ulisikia MSD ni logistics company?
Kuna internal dynamics zinafanya hiyo kazi
Faida ya kuwa kwenye fani ya utabibu ni kwamba inakua rahisi kwa CeO kujua dawa gani ni muhimu kwa wakati husika
SawaHii wizara ilibidi iongezewe naibu Katibu mkuu na naibu waziri watakao deal na magonjwa ya mlipuko au igawanywe na Mambo ya wanawake,watoto na wazee itengenezwe wizara..Afya is too big and important to mix it with other social issues...mlioko Karibu na Rais Tafadhali mfikishie ujumbe huu..msijali Nani katoa wazo, you can actually own the idea(I don't mind at all) as long as jamii yetu unapata nafuu na mabadiriko ya kimfumo na utawala.
Mtumbuliwa asihuzunike, afuate nyayo za Lameck Madelu atarudi ulingoni muda si mrefu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haogopi Jeshi, bali anawateua kwa kuwa ni wazalendo wa kweli waliobaki hawana tamaa ya kuiba kama hawa raia wengine...
Ukweli utabaki pale pale Rais Magufuli anafanya kazi kubwa, ukweli mchungu siku akiondoka mtamkumbuka...
Maswali yangu ni:
Mpaka lini tutaendelea kulalamika kuhusu kuuziwa/kupewa vitu visivyo bora?
Kwa nini tusitengeneze vipimo vyetu wenyewe kwa ushirikiano wetu wa Umoja wa nchi za Afrika?
Hatuna mahabara? Kuna mahabara ya Umoja wa nchi za Africa hili iwe ina shughulikia magonjwa yetu na ya mlipuko pamoja na kuendelea kufanya utafiti?
Hatuna wana sayansi? Kama wapo serikali zetu lini zitawapa ushirikiano?
Hatuamini mfumo wa elimu zetu?
Kwanini kila kitu tutegemee wengine?; alafu wakitaka kujaribu dawa, chanjo, vipimo vyao kwetu tunakuwa wakali na kulalamika na kusema ni ubaguzi. Mchango wetu kwenye sayansi barani kwetu na duaniani huko wapi?
Mbona wana sayansi wetu wanatumiwa na hizo nchi za nje ambazo tunawategemea kila kitu? Kwa nini sisi tusiwatumie?
Huyo no dk Wa binadamu tena bingwa.Jeshini fani zote zipo mainjinia wapo madaktari nk au hujui hilo?Wanajeshi wanaingizwa kwenye afya
Huwezi kumkumbuka dikiteita! Atakumbukwa kwa mabaya ya kuua watu! kuteka, kuwapoteza, kuwabambikia kesi,..... persectutions, kuua uhuru wa kuongea, tribalism, etc etc! Kuwa mkweli hayo yanafanyika?Ukweli utabaki pale pale Rais Magufuli anafanya kazi kubwa, ukweli mchungu siku akiondoka mtamkumbuka...
Kukaa miaka 5 siyo kwa sababu ya performance ni kwa sababu Ummy mwalimu alimbeba kama mbeleko. Hana performance yeyote aliyofanya. Ukitaka kujua nenda kaangalie maghala hayana dawa. Na hata barabarani je unayaona magari ya MSD yakienda ku deliver dawa wilayani?Vipi hakuwa na sifa wakati kaongoza miaka 5. Hata ukiwekwa wewe lazima ule; usipokula wewe watakula wenzio.
Hiyo ishu ya Ummy kutafunwa na jamaa ipo. Bwanakunu ni Handsome boy Na hata pale MSD kawatafuna baadhi ya wakurugenzi.
hizo delivery pack upo uzi wake humu. Ni dili la Ummy akishirikiana na huyo Bahari yule jamaa wa kihaya. Mbaya zaidi vituo vya Afya vilikuwa vinalazimishwa kununua hizo Kit , ikawa hawaviombi; Ummy akawalazimisha MSD kuwa kwenye kila oda ya kituo cha Afya lazima ziwekwe na delivery pack Na pesa ikatwe kwenye ac zao. Wateja wakihoji vipi unananipa na hii wakati sijaomba? MSD inawajibu ni maagizo ya Wizara na barua hii Hapa ya waziri. Yaani wamepija snaa
Kumbuka pia Bwanakunu Boss wake ni Ummy pia; so lazima Na yeye atumike kwenye huo uzi.
Ummy hamna kitu na hata hii ishu ya Corona kafeli sana tu kama waziri wa Afya; anajificha kwenye pazia kwamba yeye sio Technical hivyo washauri wake wanamuangusha; but Noo Ummy hamna na amefeli 100%. Bwanakunu kaonewa tu
Yaani Ummy akichomoka kwenye hii ishu nitaamini the power of Vagi*****n inafanya kazi.
Mk54
Niyo maana hatujasema alikuwa na mahusiano na DG wa NIMR wala TMDA. Tuna uhakika wa tunachoandika, Kama hujui, basi JF itakujuza, ni kisima cha elimu na taarifaWewe katika mawazo yako ukaribu = ngono. Yaani mtu akisema wewe uko karibu na mama na baba yako, utafikiriaje? Waziri anakuwa karibu na wakuu wote wa vitengo - NIMR, TFDA, MSD, TFN, Mkemia wa Serikali nk. Uone aibu kusema uongo. Ummy ana njaa gani ya kujiuza? Katubu dhambi yako hiyo ya uongo.