Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Hiyo ni kazi ya FDA na siyo MSD.
 
Sasa umeandika Nini wewee
 
Test Kit za Korona hizo.

Historia ya MSD imejirudia tena, baada ya ile kesi maarufu ya test kits za HIV. Nini kipo hapo MSD??
 
Ummy Mwalimu is next.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii wizara ilibidi iongezewe naibu Katibu mkuu na naibu waziri watakao deal na magonjwa ya mlipuko au igawanywe na Mambo ya wanawake,watoto na wazee itengenezwe wizara..Afya is too big and important to mix it with other social issues...mlioko Karibu na Rais Tafadhali mfikishie ujumbe huu..msijali Nani katoa wazo, you can actually own the idea(I don't mind at all) as long as jamii yetu unapata nafuu na mabadiriko ya kimfumo na utawala.
 
Mbona akiteuliwa mkufunzi wa chuo kikuu kuongoza Taasisi ya serikali hakuna shida..mi nadhani as a poor country we need to use all of our means kufika tunapotaka...ata ikibidi kutumia mfungwa ambaye ana kipaji na iwe hivyo.
By the way..China wanatumia kila mtu wao Hadi wafungwa kujenga uchumi wao sembuse Mjeda!?
 
Kufanya kazi na yule bwana shida sana. Mara akuamrishe upeleke sampuli za mapapai. fenesi, kwale, mbuzi... kwenye maabara! Mara aamrishe uhamasishe matumizi ya nyungu! Yale mambo ambayo haukufundishwa chuo kikuu. Halafu anajiona ana akili sana. Eti ana-think outside the box. Ukiangalia kisayansi, Mkurugenzi wa MSD alitumbuliwa wala hana kosa lolote. Vipimo vyote huwa vina false positives and false negatives. Mwanajeshi hawezi kubadili ukweli huu. Na isitoshe, wakati vipimo vinatengezwa havikujaribiwa kwenye mapapai wala kwale. Vilijaribiwa kwa binadamu. Kwa hiyo hakuna mtu anayejua matokeo ya vipimo katika sampuli za mafenesi, kwale na mapapai.
 
Kwa manufaa ya kumbukumbu za JamiiForums ni vizuri kumfahamu aliyekuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa Laurean Rugambwa Bwanakunu na visheni yake kuifanya MSD kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi ktk kila nyanja

 
Mke wa mtu huyo jamani. Msizushe mambo ya uongo na kuharibu ndoa za watu. Siyo vizuri kabisa.
 
Mke wa mtu huyo jamani. Msizushe mambo ya uongo na kuharibu ndoa za watu. Siyo vizuri kabisa.
Kwani ni uzushi? Wanawake wenye tamaa ya hela na umaarufu wanadhalilishwa sana na vijana wadogo. Mbona mwenyewe Bwanakunu alikuwa anatamba kuwa huwezi kumfanya lolote kwa vile ana ukaribu na Waziri
 
Wewe katika mawazo yako ukaribu = ngono. Yaani mtu akisema wewe uko karibu na mama na baba yako, utafikiriaje? Waziri anakuwa karibu na wakuu wote wa vitengo - NIMR, TFDA, MSD, TFN, Mkemia wa Serikali nk. Uone aibu kusema uongo. Ummy ana njaa gani ya kujiuza? Katubu dhambi yako hiyo ya uongo.
Kwani ni uzushi? Wanawake wenye tamaa ya hela na umaarufu wanadhalilishwa sana na vijana wadogo. Mbona mwenyewe Bwanakunu alikuwa anatamba kuwa huwezi kumfanya lolote kwa vile ana ukaribu na Waziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…