Hatuko kwenye mtihani, hapa ni real world scenario.
My argument is for efficiency Logistics for logisticians, Medical Doctors for combating diseases and other medical conditions.
FULL STOP.
Your arguments have no merits.Mtu wa Logistics per see anaweza vipi kujua demanding trend na consumption ya madawa? anaweza ku forecats au ku hodhi dawa kulingana na uhitaji? Hio inahitaji medical personnel.
Your arguments have no merits.
I rest my case.
Haina tatizo Brigardier General kuwa CEO MSD kwa kuwa Jeshi ndiyo most efficient logisticans all over the worldHatuko kwenye mtihani, hapa ni real world scenario.
My argument is for efficiency Logistics for logisticians, Medical Doctors for combating diseases and other medical conditions.
FULL STOP.
Kukaa miaka 5 siyo kwa sababu ya performance ni kwa sababu Ummy mwalimu alimbeba kama mbeleko. Hana performance yeyote aliyofanya. Ukitaka kujua nenda kaangalie maghala hayana dawa. Na hata barabarani je unayaona magari ya MSD yakienda ku deliver dawa wilayani?
Huyu tunajuwa alikuwa ni mburulla tu aliletwa pale na Salva Rweyemamu ambaye ni Interahamwe mwenzie.Mkuu:
Huyu jamaa hakuna alichofanya hapo MSD zaidi ya kujisifu na ubadhilifu tu.
Hivi karibuni kumefanyika Special Financial Audits zaidi ya mbili mfululizo.
Inawezekana kuondoka kwake ni matokeo ya hizo Audit reports.
Hizo njozi alizo kuwa nazo za kuibadilisha MSD ni za kufikirika, ni wazi ameharibu mifumo mizuri iliyo kuwepo hapo awali ambayo imepelekea ufanisi wa MSD kushuka. Kama angeweza kuitumia mifumo aliyoikuta hapo MSD angefanikiwa sana.
Lkn tusimlaumu sana kwani uwezo wake ndipo ulipofikia ukomo, hakuwa mtu sahihi kwa kazi sahihi.
Mkuu revert to my arguments huko nyuma halafu jikite kwenye zoezi la korosho huko nyuma kama reference.Haina tatizo Brigardier General kuwa CEO MSD kwa kuwa Jeshi ndiyo most efficient logisticans all over the world
JPM inafahamika kuwa maamuzi yake ni ya kukurupukaMkuu revert to my arguments huko nyuma halafu jikite kwenye zoezi la korosho huko nyuma kama reference.
Unakompea MSD na kihospitali? labda uwe unatania ndg yangu otherwise una uelewa mdogo sana wa mamboHivi hapo cheo kimepanda au kimeshuka? Kutoka kuwa mkuu wa Hospitali tena ya JWTZ na kuwa mkuu wa bohari ya panado.
Nina wasiwasi na akili zako kwa swali hili.Hivi hapo cheo kimepanda au kimeshuka? Kutoka kuwa mkuu wa Hospitali tena ya JWTZ na kuwa mkuu wa bohari ya panado.
Anaitwa nani uyo HR tafadhari mkuu?Ila wanaharibu msd ni safu ya HR hakuna technical competent ,kuanzia mkurugenzi wa hr mjanja mjanja wa kuchomeka watu wake kikabila,kikanda kwenye vitengo, isitoshe ndo mpigaji pesa sana safari nyingi sana pia ndo kamrubuni bwanakunu akampa mwenyekiti wa tenda zote msd mchaga yule sasa likizo zake nje ya nchi kwa ma supplier kudaka chake. Menejiment yao haina competent and technical persons wapowapo tu umbea mwingi. Ummy na bodi wangeanza na huyu.hakuwa mshauri mzuri kwa dg wake. Kafukuza watu kimajungu kesi kibao mahakamani ambazo wanashindwa, tuzo za ATE anazipataga kwa robbing kupitia watu wa kujaza dodoso, hr kazi yao kuandikia watu barua Sisizo na weledi ,utafikiri imeandikwa na form one.
Nadhani Kwanza awe na fani ya daktari hii elimu ya supplies iwe added advantage.Kununua kitu ambacho hukijui kazi yake nalo ni tatizo pia.Hii nafasi inahitaji mtu anayejua sana idara ya usambazaji na ununuzi supply chain management na sio lazima ajue au awe mtu aliyesomea medical.
Ila wanaharibu msd ni safu ya HR hakuna technical competent ,kuanzia mkurugenzi wa hr mjanja mjanja wa kuchomeka watu wake kikabila,kikanda kwenye vitengo, isitoshe ndo mpigaji pesa sana safari nyingi sana pia ndo kamrubuni bwanakunu akampa mwenyekiti wa tenda zote msd mchaga yule sasa likizo zake nje ya nchi kwa ma supplier kudaka chake. Menejiment yao haina competent and technical persons wapowapo tu umbea mwingi. Ummy na bodi wangeanza na huyu.hakuwa mshauri mzuri kwa dg wake. Kafukuza watu kimajungu kesi kibao mahakamani ambazo wanashindwa, tuzo za ATE anazipataga kwa robbing kupitia watu wa kujaza dodoso, hr kazi yao kuandikia watu barua Sisizo na weledi ,utafikiri imeandikwa na form one.
Hr director corporate affairs & Administration ni mtu muelevu na mtendaji mzuri toka alipotoka Tanesco Dada yetu Vick mwanri Elangwa.( Mchaga Sanya juu/mpare)Anaitwa nani uyo HR tafadhari mkuu?
Nadhani Kwanza awe na fani ya daktari hii elimu ya supplies iwe added advantage.Kununua kitu ambacho hukijui kazi yake nalo ni tatizo pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!Hr director corporate affairs & Administration ni mtu muelevu na mtendaji mzuri toka alipotoka Tanesco Dada yetu Vick mwanri Elangwa.( Mchaga Sanya juu/mpare)
Nadhani Alipoingia Msd alikutana na mizizi ya mfumo nae akabadilika kuufuata mfumo uliopo.
Makabila haya ya kaskazini kwenye pesa na mbinu za upigaji yako vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nafikiri washauri ndio wa kulaumiwa.Unakompea MSD na kihospitali? labda uwe unatania ndg yangu otherwise una uelewa mdogo sana wa mambo