Logistics sio simple kama unavyodhani, kwanza unahitaji kuwa intensive kwenye data collection, mathalan madawa kwenye vituo vyote vya afya Tz, unatakiwa ufanye forecasts.Kwenye mtihani ndio ungejibu hivi?
Logistics ni movement of material from source/origin to point of consumption. Sasa complexity ya ku excute hii operations iko wapi hadi ihitaji gwiji? Na pia trend of consumption ni lazima iwe monitored na medical personnel maana ndio anajua dawa gani demand yake iko juu na kwa wakati gani...na hii inarahisishwa na mifumo ya kieletroniki.
MD wa MSD hafanyi operational duties.Mtu wa Logistics per see anaweza vipi kujua demanding trend na consumption ya madawa? anaweza ku forecats au ku hodhi dawa kulingana na uhitaji? Hio inahitaji medical personnel.
Ila ninachojua elimu yao ni ya kuungaunga sanaHuyo no dk Wa binadamu tena bingwa.Jeshini fani zote zipo mainjinia wapo madaktari nk au hujui hilo?
Mkuu FUSO ,hili swala inabidi tulijadili kwa kuwa na uzi wake hapa,maana kwa mustakabari mwema wa Tanzania,hili ni la msingi.Tatizo ni nini hasa? Maadili ya viongozi wa umma yameshuka hadi Rais kuwateua watendaji wanajeshi kushika nyadhifa hizi?
Je ni nani kayashusha? Sababu CCM ndiyo umtawala nchi hii tangu Uhuru!!
Hayo majibu mtayatolea kwa Mahakamani, sisi huku mchezo umekwishaKwani appointing authority yake ni waziri, mbona mnapenda kuunganisha vitu cha kitoto, au waziri ni appointing authority ya takukuru
Sababu za yule Bwanakunu kutumbuliwa utazipata muda si mrefu kwa vile yuko kwenye mikono salama pale PCCBSasa wewe mwenye akili unajua sababu za Mkurugenzi huyo kutumbuliwa, mbona unaongea mambo ya kitoto?? Ambayo hayapo???
Ni vizuri ukaomba msamaha kwa fikra zako potofu
Nimeupenda uteuzi huu sana.Wanajeshi huwa mara nyingi wanakuwa waaminifu sana,nadhani kwa sababu ya nature ya mafunzo yao.Hongera sana Rais Magufuli.Natamani sana TPA na TRA kuwe na wanajeshi.Ni maeneo ambayo yako strategic sana kwa mustakabali mpana wa taifa letu.Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi (JWTZ), Lugalo
Anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa
View attachment 1438924
UPDATE: 04-05-2020
View attachment 1439595
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, Laurean Rugambwa akimkabidhi ofisi Mkurugenzi Mkuu Mpya Brig. Jen Dkt. Sauli Mhidize
Sasa wewe mwenye akili unajua sababu za Mkurugenzi huyo kutumbuliwa, mbona unaongea mambo ya kitoto?? Ambayo hayapo???
Ni vizuri ukaomba msamaha kwa fikra zako potofu
Ni kweli Leo nimepata bundle, thanks for being a good SamaritanLeo ndio umepata bando, nini? Naomba unisamehe.
aisee . . . kweli pia sometimes. Tena taasisi kama TPA ndiyo kabisa inatakiwa mwanajeshi ila tu awe na knowledge ya shipping na business acumen pia. Ni nyeti sana kulingana na majukumu yake, mchango wake kwa uchumi wa taifa pamoja na hekaya za kiusalama na kimkakati ndani ya nchi yetu. Deusdedit Kakoko anafanya kazi nzuri sana na anastahili kupongezwa maana amedhibiti vilivyo upigaji, wizi na uhuni bandarini. Kama ni kumpa mwanajeshi basi vema mjeshi huyo awe trained na ni lazima awe strategic pia kibiashara. Kama hajafikia vigezo hivyo waacheni raia waadilifu waendelee kuviongoza vyombo hivyo.Nimeupenda uteuzi huu sana.Wanajeshi huwa mara nyingi wanakuwa waaminifu sana,nadhani kwa sababu ya nature ya mafunzo yao.Hongera sana Rais Magufuli.Natamani sana TPA na TRA kuwe na wanajeshi.Ni maeneo ambayo yako strategic sana kwa mustakabali mpana wa taifa letu.
NI KWA VIPI PANADOL NI LOWA LEVEL? INA MAANA BOSS WA IKULU HAWEZI KUNYWA PANADOL? nAYE NI LOWA LEVEL?Kwanza kwa kutumia neno panadol as your reference point , umeisha onyesha anakwenda mahali pa low level , nia yako ya kutaka kujua kama kapanda au kashuka linakuwa distorted, ndio maana umejibiwa hivyo.
Any it is waste of time na energy to discuss this with U, may be on other issues which u will come up with a meaningful pointsNI KWA VIPI PANADOL NI LOWA LEVEL? INA MAANA BOSS WA IKULU HAWEZI KUNYWA PANADOL? nAYE NI LOWA LEVEL?
Mkuu hiyo siyo shida.Majeshi huwa yana watu ambao wako trained kwenye displines zote,just in case.Naamini jeshi letu sio tofauti na majeshi mengine.aisee . . . kweli pia sometimes. Tena taasisi kama TPA ndiyo kabisa inatakiwa mwanajeshi ila tu awe na knowledge ya shipping na business acumen pia. Ni nyeti sana kulingana na majukumu yake, mchango wake kwa uchumi wa taifa pamoja na hekaya za kiusalama na kimkakati ndani ya nchi yetu. Deusdedit Kakoko anafanya kazi nzuri sana na anastahili kupongezwa maana amedhibiti vilivyo upigaji, wizi na uhuni bandarini. Kama ni kumpa mwanajeshi basi vema mjeshi huyo awe trained na ni lazima awe strategic pia kibiashara. Kama hajafikia vigezo hivyo waacheni raia waadilifu waendelee kuviongoza vyombo hivyo.