Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
wengine wapo kazini, just ignore themMtu aliye timamu hutumia ubongo wake kufikiri. Nakushauri, jua kwanza kazi zao na kisha soma sana lakn ukishindwa, usijibu maana utaonekana jinsi usivyo muelewa kwenye uzi muhimu kama huu. Ni vyema kuelewa na sio kushabikia.
Thank u comrade.wengine wapo kazini, just ignore them
Nakubaliàna na we we nchi zote duniani hazifanani sasa kwanini sisi tushindwe kutimiza hata huduma muhimu za jamii ka maji safi kwa wananchi wanaopeteza mda mwingi kutafta maji machafu ya kwenye mabwawa na madibwi, licha ya kuwa na mito mikubwa, maziwa makubwa na bahari hapo napo tumsingizie nani, ka serikali haijali wananchi wake. Tanzania tuna kila kitu cha kutufanya tupige hatua ila tumekosa dira ka taifa, na malengo ya mda mrefu plus uzalendo. Ni aibu sana Mpaka leo tunahangaika na madawati wakati sasa hivi tungetakiwa kufikiria mambo mengine ya karne ya 21.dada yangu, mafanikio siku zote hupimwa kwa kuangalia wapi mtu alipotoka na alipofikia ndani ya kipindi fulani cha muda (ulikuwa unaogeshwa ila sasa unaoga mwenyewe, hayo ni maendeleo) and the same principle applies kwenye kupima maendeleo ya nchi. nchi haziwezi kufanana hata siku moja. japan ilivyo leo hii haiwezi kufanana na U.S.A ingawa zote zinasemekana ni nchi za dunia ya kwanza
Othman alikuwa mfanyakazi wa ubalozi wa Tz uingereza mpaka alipoteuliwa.Othman hakuwahi kuwa balozi
smart phone yangu inaisha chaji, ntakujibu vizuri tu dada...........Nakubaliàna na we we nchi zote duniani hazifanani sasa kwanini sisi tushindwe kutimiza hata huduma muhimu za jamii ka maji safi kwa wananchi wanaopeteza mda mwingi kutafta maji machafu ya kwenye mabwawa na madibwi, licha ya kuwa na mito mikubwa, maziwa makubwa na bahari hapo napo tumsingizie nani, ka serikali haijali wananchi wake. Tanzania tuna kila kitu cha kutufanya tupige hatua ila tumekosa dira ka taifa, na malengo ya mda mrefu plus uzalendo. Ni aibu sana Mpaka leo tunahangaika na madawati wakati sasa hivi tungetakiwa kufikiria mambo mengine ya karne ya 21.
Tatizo lako unadhani wote humu wajinga usilolijua wewe ndo nalijua mimi na nisilolijua mimi unalijua wewe ndomana hatufahamiani..so endelea kujua maana mjuaji upo peke yakoUngekuwa unanijua ungesema kwamba najua au sijui. Ila hongera kwa kutokujua.
Sawa mkuu.smart phone yangu inaisha chaji, ntakujibu vizuri tu dada...........
Kuteuliwa kutoka nje maana yake nn mkuu?Binafsi nimefurahi sana kuteuliwa mtu ambaye alikuwa anafanyia nje sijui wanaitwa undercover agents au field officers.Nadhani Rais anajua anachokifanya.
Nasikia hata miaka ya utawala wa Mwinyi kuna mjeshi mmoja
alikuwa ni mkuu wa mkoa akateuliwa kuwa mnadhimu mkuu wa jeshi. Yaani waliokuwa jeshini hawakumfikiria kabisa na alivyoanza majukumu yake
akaimarisha utendaji na nidhamu
Hahahahaha Unamaanisha Mbowe yupi ni mtu huru au mwingine maana huo ni ukoo mpaka huku kwetu yupo .....Mbowe, kule yupo..... mbowe hata iliokua taasisi ya kubinafsisha mashirika ya umma yaani wakati ikiwa hai yaani PSRC wakati fulani iliongozwa na ..... Mbowena Mbowe alikuwa Dj...ahahahaaa
Sasa we umeujuaje?Na huu ndio ukweli hasa ambao kina lizabon pamoja na kujifanya watu wa system hawaujui kabisa huu!
wengine wapo kazini, just ignore them
Kwa sababu hizo ambazo wewe huna pamoja na wenzio hao!Sasa we umeujuaje?
Sasa si ungetuambia tu maana nimeuliza kutak akufahamu. Na wenzangu wepi hao? Mwaga ushahidi na sisi tujifunze...Kwa sababu hizo ambazo wewe huna pamoja na wenzio hao!