Nakubaliàna na we we nchi zote duniani hazifanani sasa kwanini sisi tushindwe kutimiza hata huduma muhimu za jamii ka maji safi kwa wananchi wanaopeteza mda mwingi kutafta maji machafu ya kwenye mabwawa na madibwi, licha ya kuwa na mito mikubwa, maziwa makubwa na bahari hapo napo tumsingizie nani, ka serikali haijali wananchi wake. Tanzania tuna kila kitu cha kutufanya tupige hatua ila tumekosa dira ka taifa, na malengo ya mda mrefu plus uzalendo. Ni aibu sana Mpaka leo tunahangaika na madawati wakati sasa hivi tungetakiwa kufikiria mambo mengine ya karne ya 21.