Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Sina nijuacho mkuu.Ukinyamaza unatunyima uhondo wa elimu na wewe unajua mengi lete tuition
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina nijuacho mkuu.Ukinyamaza unatunyima uhondo wa elimu na wewe unajua mengi lete tuition
Aliwahi kuwa Polis pia.Filikunjombe hakuwa polisi bali ripota wa ITV
Naomba uendelee hivyo hivyo kutojua kazi, maadili na majukumu ya hiyo Idara
Kwani yameandikwa wapi ili tujue?
Alifukuzwa BoTHuyu kapilimba ni kati ya mashushu waliobobea amekuwa akitumiwa na idara katika maeneo muhimu B O T ndio alikuwa anaisaidia idara hiyo kwa kuwapa information muhimu hasa za kupiga dili....
Hata baada ya kuondoka BOT kwenda masomoni baadae tena baada ya masomo alilejeshwa tena BOT kwa kazi maalum za kijasusi
aliondoka Bot kwa kuandika barua ya likizo akiwa likizo alisikika tena Nec hapo pia alienda kwa kazi maalum za kijasusi baada ya zoezi kukamilika la uchaguzi.......Jasusi huyo alipelekwa Nida kukaimu ukurugenzi kwa kazi maalum na mpaka hivi Jpm anamrudisha kundini Kuingoza Idara hiyo yA Usalam
Hata kufukuzwa inaweza kuwa ilikuwa sehemu ya majukumu yake.Vyuoni wapo hao jamaa wa TISS wanasoma lakini hawamalizi wanadisco au wanafukuzwaAlifukuzwa BoT
Hilo walijua wewe. Mimi ninachojua ndio hicho nilichoandika.Sign out!Na alipoteuliwa dakika ya 90+3 kwenda pale NEC ilikuwa ni kwa malengo gani? Uadilifu + Ibada anayejua ni Mungu na si mwanadamu.
Things to consider....
1. Alifukuzwa kazi BOT (based on hiyo barua iliyotaka hapo juu)
2. Alichakachua matokeo ya uchaguzi ( in my opinion CCM did not need him to win in any way shape or form. Katiba ya 1977 inawatosha)
3. Gaps kwenye maisha yake nchemba ya nchi
4. Uhusiano wake na Saidi Lugumi (this is a point of interest)
5. Role yake NIDA ( How did he deal.na akina Jack Gotham, Ramadhani Mwikalo et al)
Kwenye mawingu ya blue
wewe umejuaje hajawahi kuwa TISS? mimi nimefanya kazi na mtu ofisi isiyohusiana na TISS kwa zaidi ya miaka 25 cha ajabu ni pale jamaa alipohamishiwa makao makuu yao ndio watu wakajua jamaa alikuwa ni mtuwa TISS japo kulikuwa na tetesi ambazo hazikuwahi kudhibitishwa.Huyu Bwana alikuwa BoT, akakaenda NIDA, leo ndio kaula TISS. Hajawahi kufanya TISS kabla, he has to undergo tranining kabla ya kuchukua kiti
Zamani hawa TISSwalikuwa hawajitangazi kama ilivyo sasa. Mi nakumbuka Chuoni mtu unakuta ni intelligent mara amedisco ( amefeli) mara ametoweka ghafla ili mradi maisha yao yalikuwa hayaeleweki sana. Na kwa wale wasio jua karibu kila sector in hao watu wa TISS na wengine huitwa Informers.Ila siku hizi hata Informers hujii ta mimi mtu wa Usalama ilimradi majanga tu!wewe umejuaje hajawahi kuwa TISS? mimi nimefanya kazi na mtu ofisi isiyohusiana na TISS kwa zaidi ya miaka 25 cha ajabu ni pale jamaa alipohamishiwa makao makuu yao ndio watu wakajua jamaa alikuwa ni mtuwa TISS japo kulikuwa na tetesi ambazo hazikuwahi kudhibitishwa.
Ni kwei mkuu siku hizi hakuna siri tena..Zamani hawa TISSwalikuwa hawajitangazi kama ilivyo sasa. Mi nakumbuka Chuoni mtu unakuta ni intelligent mara amedisco ( amefeli) mara ametoweka ghafla ili mradi maisha yao yalikuwa hayaeleweki sana. Na kwa wale wasio jua karibu kila sector in hao watu wa TISS na wengine huitwa Informers.Ila siku hizi hata Informers hujii ta mimi mtu wa Usalama ilimradi majanga tu!
Huko NIDA si ndo kulikuwa na mauza uza ya national ID au??!!
Nashangaa Philemon Kuamkia Maiti ShikamooHuko NIDA si ndo kulikuwa na mauza uza ya national ID au??!!