Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Dkt Kipilimba tunaomba utunze heshima dhidi ya hii siasa ambayo inazidi kuendelea na ya Idara yako.

Kwa nchi nzuri yoyote ile, Usalama inakuwa na Image nzuri, TISS mnapaswa kujikita ktk kazi zenu ili kuleta uchumi mzuri wa nchi, amani pamoja na kujenga uzalendo kwa wananchi waipende nchi yao na sio kuwaona ninyi ni wanyama ndani ya nchi.

Dkt Kipilimba tunaomba ufanye kazi yako kwa ufasaha pasipo mihemko ya wanasiasa wasiojitambua.
 
unaongea ki layman sana. Tatizo mnjajifanya ma expert wa kila ishu kumbe weupe vichwani
Narudia tena sifa kubwa kwake ilikuwa ni msukuma hizo nyengine sio za maana kwake..ref cdf lete Hoja zako ili twende pamoja
 
Screen%2BShot%2B2016-08-24%2Bat%2B11.00.43%2BAM.png

Kazi tunayo!​
 
Najiuliza nini maana ya TISS kama sielewi nchi inakuwa kama ya ajabu hivi NIDA kuna shushu alie bobea wa kuhack taarifa on sport au kegezo kipi kimetumika maana kuna vitengo vya umuhimu uzoefu katika kazi unaitajika hujawahi sikia CIA M16 au mossad nchi wahusika wanafanya changes Mara Mara kwa usalama zaid
 
Kila rais anayeingia humchagua director amtakaye ,refer Obama na saizi Trump
 
Jamani wazee Wa mstari fanyeni yenu...
Msaidie kutoa taharuki hili iliyotanda kwa jamii.
 
Tafadhali Mkuu acha kuwafananisha CIA, Mossad na M16 na vitu vya ' ajabu ajabu ' vinavyopatikana katika dark continent tu.
 
Kila rais anayeingia humchagua director amtakaye ,refer Obama na saizi Trump

Umesahau kitu kingine Mkuu na Mimi kabla sijasahau ngoja nikuambie kwani ' bichwa ' langu hili nalijua mwenyewe. Ni kwamba pia lazima huyo anayemchagua katika hiyo nafasi awe ama anatoka katika moja ya Makabila yake au Mkoa wake au Mikoa ya jirani na ikibidi hata kwa kigezo tu cha ' Uswahiba '.
 
Back
Top Bottom