Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

hongera Sana dkt modestus kipilimba na ndg Robert msalika.
 
Huyu kapilimba ni kati ya mashushu waliobobea amekuwa akitumiwa na idara katika maeneo muhimu B O T ndio alikuwa anaisaidia idara hiyo kwa kuwapa information muhimu hasa za kupiga dili....

Hata baada ya kuondoka BOT kwenda masomoni baadae tena baada ya masomo alilejeshwa tena BOT kwa kazi maalum za kijasusi

aliondoka Bot kwa kuandika barua ya likizo akiwa likizo alisikika tena Nec hapo pia alienda kwa kazi maalum za kijasusi baada ya zoezi kukamilika la uchaguzi.......Jasusi huyo alipelekwa Nida kukaimu ukurugenzi kwa kazi maalum na mpaka hivi Jpm anamrudisha kundini Kuingoza Idara hiyo yA Usalam
Alifukuzwa BoT
 
CCM ni ile ile oooohhh, ni ile ileeeeeee. TUMEJIPANGAA, MWAKA HUU WATAISOMA NAMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Tunaamini ya kuwa atatenda kazi yake kwa mujibu wa katiba ya nchi
 
TATIZO VITUJANA VYA KITANZANIA HAMUELEWI HATA KAZI ZA TISS

tiss wapo kila mahali kistrategy, kazi yao ikiwa ni kuhakikisha usalama wa nchi unalindwa na kudumishwa, kufukuzwa pia kunaweza uwa kistrategy ili msimshtukie kuwa alikuwa kazini.
 
Na alipoteuliwa dakika ya 90+3 kwenda pale NEC ilikuwa ni kwa malengo gani? Uadilifu + Ibada anayejua ni Mungu na si mwanadamu.
Hilo walijua wewe. Mimi ninachojua ndio hicho nilichoandika.Sign out!
 
Things to consider....

1. Alifukuzwa kazi BOT (based on hiyo barua iliyotaka hapo juu)

2. Alichakachua matokeo ya uchaguzi ( in my opinion CCM did not need him to win in any way shape or form. Katiba ya 1977 inawatosha)

3. Gaps kwenye maisha yake nchemba ya nchi

4. Uhusiano wake na Saidi Lugumi (this is a point of interest)

5. Role yake NIDA ( How did he deal.na akina Jack Gotham, Ramadhani Mwikalo et al)

No. 4. Hana uhusiano wowote na Saidi Lugumi.
No. 5. Kazi yake NIDA ilikuwa kusimamia utoaji wa vitambulisho vya Taifa. Yeye hakwenda NIDA kama polisi au jaji.
 
Huyu Bwana alikuwa BoT, akakaenda NIDA, leo ndio kaula TISS. Hajawahi kufanya TISS kabla, he has to undergo tranining kabla ya kuchukua kiti
wewe umejuaje hajawahi kuwa TISS? mimi nimefanya kazi na mtu ofisi isiyohusiana na TISS kwa zaidi ya miaka 25 cha ajabu ni pale jamaa alipohamishiwa makao makuu yao ndio watu wakajua jamaa alikuwa ni mtuwa TISS japo kulikuwa na tetesi ambazo hazikuwahi kudhibitishwa.
 
Zamani hawa TISSwalikuwa hawajitangazi kama ilivyo sasa. Mi nakumbuka Chuoni mtu unakuta ni intelligent mara amedisco ( amefeli) mara ametoweka ghafla ili mradi maisha yao yalikuwa hayaeleweki sana. Na kwa wale wasio jua karibu kila sector in hao watu wa TISS na wengine huitwa Informers.Ila siku hizi hata Informers hujii ta mimi mtu wa Usalama ilimradi majanga tu!
 
Ni kwei mkuu siku hizi hakuna siri tena..
 
Back
Top Bottom