Chande aliye kuwa jaji mkuu katika TangaOsman Rashid na Chande Othman Jaji mkuu ni mtu na mdogo wake sasa inawezekana vipi Othman Rashid asiwe Mzanzibar? Una uhakika na unachokiandika au unabashiri?
Mkurugenzi wa kwanza wa Usalama Taifa ni Marehemu Mzee Gama kutoka Songea, sikumbuki mtiririko wake ila walifuata pia kina Hans Kitine, Imrani Kombe mchaga, kuna huyu Mnyakyusa amestaafu wakati wa JK nimemsahau jina (Apson Mwang'onda)then akaja Mzanzibar Othman Rashid ndio akaingia bwana huyu.
Othmani Rashid katoka Tanga wilaya ya muheza na Othman Chande nae wa Tanga jiji hapo chumbageni, ni majina tu yamefanana hawana undugu kabisa.Osman Rashid na Chande Othman Jaji mkuu ni mtu na mdogo wake sasa inawezekana vipi Othman Rashid asiwe Mzanzibar? Una uhakika na unachokiandika au unabashiri?
Jamani mbona imesemwa huko nyuma ni Mtu wa Morogoro kabisa sijui! Yaani angekuwa msukuma sijui ingekuwaje?!?! Nawaza tu!Hivi huyo mteuliwa ni kabila gani?
Tatizo lako unajifanya mjuaji sanaOsman Rashid na Chande Othman Jaji mkuu ni mtu na mdogo wake sasa inawezekana vipi Othman Rashid asiwe Mzanzibar? Una uhakika na unachokiandika au unabashiri?
Osman Rashid na Chande Othman Jaji mkuu ni mtu na mdogo wake sasa inawezekana vipi Othman Rashid asiwe Mzanzibar? Una uhakika na unachokiandika au unabashiri?
Hajawahi kuishi usukumani lkn?Jamani mbona imesemwa huko nyuma ni Mtu wa Morogoro kabisa sijui! Yaani angekuwa msukuma sijui ingekuwaje?!?! Nawaza tu!
ndio ni msukuma kwani hujuiKipilimba ni msukuma? ?
mnaulizana makabila mnataka kutambika?ndio ni msukuma kwani hujui
haya ni madhara ya ujuaji. Ni vyema kujitahidi kutumia akili kuandika mambo yanayojenga. Bashite hawezi kuitumia idara kufanya uhuni wakeIdara yenyewe limekuwa genge la wahuni tu. Kazi ni kutumika na akina Bashite kuvamia watu na kuwaumiza tu. Hawa hawa ndo wamemnyooshea bastola Nape. Idara hii imepoteza 'credibility' yake, haina hadhi tunaoifahamu.
Hebu acah Uzushi! All in all ni Mtanzania au kigezo anatakiwa awe kabila gani labda?!?!?ndio ni msukuma kwani hujui
Ni mssukuma ndio maana ameanzisha special assassin squad kwa ruhusa ya mukulu operator akiwa Bashite he is too naked huyu atauwa kuliko Idd Amin alivyouwa raise your voice people utawala huu ni utawala wa kishirikina hauna manufaa kabis kwenye nchi hii wameshindwa kutawala sasa wanataka tukae kimya kama hatutakaa kimyaHebu acah Uzushi! All in all ni Mtanzania au kigezo anatakiwa awe kabila gani labda?!?!?
Ha ha muulize Magufuli Bashite na Ndugai wasukuma munajielewa sana kwa kuanzisha mauaji kama mufanyavyo huko shinyanga geita wauaji wakubwa hapa nchini munamalizana wenyewe sasa munataka kuleta hapa Dar es salaam ambapo waasisi walikuwa wanalala macho kutafuta uhuru harafu nyie watu wakuja muje muirarue bandari salamu nani atakubalimnaulizana makabila mnataka kutambika?
Huyu ndie usalama wa kwanza tangu uhuru anayejali tumbo lake na watawala hana manufaa kwa nchi bali kw Magufuli na Bashite ajiangalie tuu vyombo vingine vya usalama vikashaona analeta upuuzi atapata majibu yake maana Polisi wameshaanza kumkana maana operation zake anazofanya na bashite zimekuwa peupee pee he has to go kuliko kutuingiza kwenye vita ya wenyewe kwa wenyeweDk kipilimba hongera tuna imani utaiongoza vyema team yako kutulinda sisi wananchi wenu na nchi yetu pia.big up mueshimiwa Rais kwa uteuzi huu makini.[HASHTAG]#bring[/HASHTAG] back [HASHTAG]#ben saanane[/HASHTAG]
jamaa huyu alipigwa ban ya miaka mitano sahv anatumia id nyingine au walimsamehe?? kweli ni kilaza mjinga na sio mjanja.Pigania haki yako kwani huna sifa? kwa sasa mpaka uchan=guliwe lazima uwe unatokea parokia fulani
Mkurugenzi wa kwanza wa Usalama Taifa ni Marehemu Mzee Gama kutoka Songea, sikumbuki mtiririko wake ila walifuata pia kina Hans Kitine, Imrani Kombe mchaga, kuna huyu Mnyakyusa amestaafu wakati wa JK nimemsahau jina (Apson Mwang'onda)then akaja Mzanzibar Othman Rashid ndio akaingia bwana huyu.