Sasa mi si nimeuliza maswali si mjibu,wamesaidia nini kuepusha wizi kwenye mashirika??Elewa kazi yao na utafahamu mengi zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mi si nimeuliza maswali si mjibu,wamesaidia nini kuepusha wizi kwenye mashirika??Elewa kazi yao na utafahamu mengi zaidi.
Mtu anayepaswa kushika ukuu wa idara nyeti moyo wa nchi kama TISS hawezi kuwa kipilimba ambaye amehusishwa na kuiba kura na kuiibia umma na jeshi la polisi fedha za Lugumi haiwezekani yeye mwenyewe ajiuzuru kwa sababu ataleta madhara makubwa nchi hii kama kiongozi huyo hana intergrity na watu wengi wanajuwa maovu yake watakosa imani na chombo chao
Nimekusoma vizuri, ila kuna sababu ya Dr Kipilimba kuzungukazunguka kila idara.
Halafu, unafikiri mheshimiwa raisi amekosea uteuzi au vipi?
Naomba uendelee hivyo hivyo kutojua kazi, maadili na majukumu ya hiyo IdaraMkuu Froida katika mazingira kama haya unaweazaje kutofautisha udukuzi na kuhusika? Au tuweke hivi alidukua kwa kuhusika.
Director of External Intelligence ni nani?
msafara wa mamba baba....Kwa hiyo huko NIDA aliwashushushu wenzie?
kazi gani wakati mashirika ya umma yanakufa? Hawana faida yoyote kwa TaifaElewa kazi yao na utafahamu mengi zaidi.
Usimseme mwenzio hajui ilihali wewe hujui kabisa mana utaonekana kituko kwa mtu ambae unamwambia hajuiJambo usilolijua usiliseme, ukilisema utaonekana ni namna gani hujui usemalo.
mara nyingi rais amekosea kwenye teuzi zake kuanzia wakurugenzi wa halmashaurii.wakuu wa wilaya ndio maana wengine wametenguliwa muda mfupi baada ya kuteuliwaNimekusoma vizuri, ila kuna sababu ya Dr Kipilimba kuzungukazunguka kila idara.
Halafu, unafikiri mheshimiwa raisi amekosea uteuzi au vipi?
Hujitambui mkuu. Pole sana.Huyu ni jipu lenye usaha w a kilo mia mtu si msafi kabisa mtuhumiwa kwa kiwango kikubwa kama cha huyu mtu hawezi pewa idara nyeti kama hiyo hana intergrity katuhumiwa kuiba kura katuhumiwa kufanya biashara ovu na akina Lugumi halafu unampa kitengo nyeti kama hicho halafu Magufuli anadanganya umma eti anatetea watu anyone kweli serikali ya CCM ni ya mafisadi mwendo mzima
na Mbowe alikuwa Dj...ahahahaaaWaambie hao. Mkapa alikuwa paparazi, na mzee Mwinyi alikuwa mwalimu, Marehemu Filikunjombe alikuwa polisi. Kazi ya zamani hai-determine utakuwa nani huko mbeleni. NUKTA.
acha masihara wewe, miaka hamsini tutakuwa vipi palepale???!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hivi hzo kazi maalumu zimekua na manufaa gani kwa taifa miaka hamsini tuko pale pale. Sifa nyingine za kijinga tu.
Miaka hamsini madawati mashuleni hamna hayo si maajabu ya dunia tena tuna misitu ya kutosha.acha masihara wewe, miaka hamsini tutakuwa vipi palepale???!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
yani issue ya upungufu wa madawati ndio kwako ni issue ya kukufanya useme bado tupo pale pale baada ya miaka 50 ya uhuru? mafanikio yaliyopatikana huyaoni? kumbe wewe bado sanaaaaaaa.............Miaka hamsini madawati mashuleni hamna hayo si maajabu ya dunia tena tuna misitu ya kutosha.
Ukishindwa kwa kitu kidogo usitegemee mafanikio ya vtu vingine. Nusu karne ni miaka mingi mno ukicompare na nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi na sasa zimepiga hatua kubwa kiuchumi had kuingia level nyingine.yani issue ya upungufu wa madawati ndio kwako ni issue ya kukufanya useme bado tupo pale pale baada ya miaka 50 ya uhuru? mafanikio yaliyopatikana huyaoni? kumbe wewe bado sanaaaaaaa.............
Kuna wengine wanashindwa kujua TISS inafanyaje kazi, ni kama mkondo wa umeme, negative in mhimu kufikia malengo. Wengine naona wanashupalia mbona vile mbona hivi kwa kuangalia positive side, ila
wanasahau kujua mission ilikuwa ni nini. Tusifunze kusoma kutoka kulia kwenda kushoto, sio kushoto kwenda kulia muda wote, ili kuongeza
maarifa, na muda mwingine tuwe wasomaji tu, sio kila uzi tuchangine hata kama uzi umetuzidi uwezo. Naomba niishie hapo.
dada yangu, mafanikio siku zote hupimwa kwa kuangalia wapi mtu alipotoka na alipofikia ndani ya kipindi fulani cha muda (ulikuwa unaogeshwa ila sasa unaoga mwenyewe, hayo ni maendeleo) and the same principle applies kwenye kupima maendeleo ya nchi. nchi haziwezi kufanana hata siku moja. japan ilivyo leo hii haiwezi kufanana na U.S.A ingawa zote zinasemekana ni nchi za dunia ya kwanzaUkishindwa kwa kitu kidogo usitegemee mafanikio ya vtu vingine. Nusu karne ni miaka mingi mno ukicompare na nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi na sasa zimepiga hatua kubwa kiuchumi had kuingia level nyingine.
Mtu aliye timamu hutumia ubongo wake kufikiri. Nakushauri, jua kwanza kazi zao na kisha soma sana lakn ukishindwa, usijibu maana utaonekana jinsi usivyo muelewa kwenye uzi muhimu kama huu. Ni vyema kuelewa na sio kushabikia.kazi gani wakati mashirika ya umma yanakufa? Hawana faida yoyote kwa Taifa
Ungekuwa unanijua ungesema kwamba najua au sijui. Ila hongera kwa kutokujua.Usimseme mwenzio hajui ilihali wewe hujui kabisa mana utaonekana kituko kwa mtu ambae unamwambia hajui