Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
Mbunge wa Ruangwa huyy jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaahah
Serikali ya CCM bwana....PM ni Majaliwa
Sio lazima ufurahishwe wewe.........mimi sijafurahishwa na uteuzi wake.......maana sioni akiendana na kasi ya kazi tu....
Unajuaje kama JK ana mkono wake hapo? Mbona tunapenda kuongea na yale tusiyoyajua?huyo ni pandikizi wa jk, joni alisema hapa kazi tu! sasa ngoja aione kazi.
Eken picha tumjue
wewe watu walibaki kukisia tu,yaani ilikuwa ni probability,ila 2006 ilijulikana kabisa kuwa ni Lowasa,na baada ya lowasa kuondoka ikajulikana kabisa kuwa ni Pindausiri gani na jina la majaliwa lilishakuwepo midomoni.
Nani aliweza kubashiri uteuzi huu. Kama ingekuwa betting wazee wa kuweka mikeka wangeangukia pua.