Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Mleta mada hebu kuwa serious???

Mana huyu ni team msoga huyu afu kilaza
 
.........mimi sijafurahishwa na uteuzi wake.......maana sioni akiendana na kasi ya kazi tu....
 
huyo ni pandikizi wa jk, joni alisema hapa kazi tu! sasa ngoja aione kazi.
 
Ateuliwa na Rais Magufuli.
Jina lake kupigiwa kura na wabunge punde
 
Ona jinsi hii nchi ilivyo ya hovyo.

Huyo Kassim keshateuliwa na ndo imetoka hiyo.

Hakuna cha kuthibitishwa na kamati ya bunge wala bunge lenyewe.

Ukishateuliwa tu ndo basi.
 
Mleta mada hebu kuwa serious???

Mana huyu ni team msoga huyu afu kilaza
 
ccm kwa ma suprise wanatisha... full drama mambo yao.. ndio maana wanatawala miaka 50. wana zengwe hatari
 
Back
Top Bottom