Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu bungeni,na katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi,hatimaye mhe.Kassim Majaliwa ambaye ni mbunge wa jimbo la Ruangwa amependekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania,bunge linasitishwa kwa muda kumruhusu Mwanasheria Mkuu wa serikali akaandae wasifu wa Waziri Mkuu ili akawasomee wabunge,kabla ya kumthibitisha kama yalivyo matakwa ya katiba.
 
Back
Top Bottom