Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
huyu hajateuliwa amependekezwa tu,bunge lina mamlaka kikatiba ya kumkataa.
Nyie malofa kila kitu kwenu kibaya, kila kitu mnaponda tu? Ulitaka apendekezwe nani?
No one expected to this man its amazing
TAMISEMI aliiweza huyu? Plz wanaojua