Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Naomba tupate wasifu wa Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais, ndugu Kassim Majaliwa.

Ni mtu wa aina gani, alikosoma na mambo muhimu hasa ukizingatia anaenda kuwa Mtendaji mkuu wa Shughuli za Serikali.
 
attachment.php


Kama Mpiga mpunga vile!!
 

Attachments

  • Katelephone.jpg
    Katelephone.jpg
    17.3 KB · Views: 2,055
Kwa hakika Tanzania itakuwa imempata Rais ambaye ni wa aina yake na hakuna mtu mwenye uwezo wa kutabiri kuwa anawaza nini na anapanga nini!!!!
Watu wengi walijaribu kuweka fikra zao kuwa Waziri Mkuu atakuwa Dr Harrison Mwakyembe na kujiaminisha kuwa ndiye pekee anaefaa. Kweli imethibitika sasa kuwa Rais wetu Dr Magufuli John Pombe Joseph msiri sana na haongozwi na upepo wa watu wanasema nini. Waziri Mkuu wake sasa atakuwa Mhe Kasim Majaliwa ambaye alikuwa ni Naibu Waziri wa TAMISEMI akiwa anashughulikua ELIMU.

Hapa Kazi Tu.
 
mbona siwaelewi? Aliyeripoti sms ya mwanzo alisema yanayojiri bungeni ni kuwa PM aliyesomwa kutoka bahasha ya rais ni Kasim Majaliwa, halafu wana jf nao wanaleta pm wao, inakuwaje sasa? Au kurasa hizi za jf ni za upotoshaji tu na si chanzo sahihi cha habari? Tusikurupuke jambo hili ni nyeti tuujue ukweli na si porojo tuuu hapa!
 
Ona Sasa wajuaji wa mambo wanakuja kupinga kila kitu. Wengine hata hawamfahamu, lakini watapinga tu coz jamaa zao au mapenzi yao hayajatimia..futseke zenu!!
 
Najua ccm lazima waseme ni mchapakaz asiye na upendeleo katika utendaji wake.... wakati hata hafahamiki na wananchi wengi...
 
Back
Top Bottom