Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Shemeji yake mkulu aliye ondoka kweli nchi hii ni ndugu kupeana. Sisi tuendelee kulialia hadi tutakapo enda ahera.
Mke wake ni afisa elimu wilaya nazan dar hii,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemeji yake mkulu aliye ondoka kweli nchi hii ni ndugu kupeana. Sisi tuendelee kulialia hadi tutakapo enda ahera.
Naomba tupate wasifu wa Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais, ndugu Kassim Majaliwa.
Ni mtu wa aina gani, alikosoma na mambo muhimu hasa ukizingatia anaenda kuwa Mtendaji mkuu wa Shughuli za Serikali.
Magufuli tayari amefeli mtihani, serikali yake itaandika histiria mpya kama ya jk.Aiweze wapi?migogoro kibao kashindwa kuitekeleza pia ni bingwa wa ahadi huyo badi bakule jogoo la shamba
Hahahahahahaha! ninidhani ni mimi tu tu kumbe tupo wengi tusiomfahamu!Kassim Nani? Weka picha.
Chenge joka la makengeza
Ni Kasim Majaliwa!.
Kassim Majaliwa huyu hapa!Ndo kassim.
Soma CV yake hapo: http://www.bungemaalum.go.tz/bunge/member_profile/644Huyu ndio PM wetu, hivyo ni vema tukamfahamu kiundani zaidi. Wenye C.V yake aje atujuze.
Chaguo la msoga