Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Hatimae yametimia, Kassimu Majaliwa ateuliwa na JPM kuwa Waziri Mkuu. Kwanza nimpe pongezi, pili Je akithibitishwa na bunge, atakidhi matarajio ya wananchi?

Historia yake ya kazi ikoje?
 
Naomba tupate wasifu wa Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais, ndugu Kassim Majaliwa.

Ni mtu wa aina gani, alikosoma na mambo muhimu hasa ukizingatia anaenda kuwa Mtendaji mkuu wa Shughuli za Serikali.

Majaliwa K. Majaliwa
Majaliwa Kassim Majaliwa (born 22 December
1960) is a Tanzanian CCM politician and
Member of Parliament for Ruangwa
constituency since 2010. On the 19th of
November, 2015, he was appointed by
President John Pombe Magufuli to become
the Prime Minister under the 5th Phase
Government.
He was formerly the Deputy Minister of State
in the Prime Minister's Office for Regional
Administration and Local Government. [1]
References
1. ^ "Member of Parliament CV" .
Parliament of Tanzania. Retrieved 24 February
2013.
Template:Tanzania Prime Minister
Template:Current Prime Minister
Last edited on 19 November 2015, at 0...
? Mobile Desktop
Content is available under CC BY-SA 3.0
unless otherwise noted.
Terms of Use Privacy
Honourable
Majaliwa K. Majaliwa
MP
Incumbent
Assumed office
November 19 2015
Serving with Aggrey Mwanri
Minister George Mkuchika (2010-12)
Hawa Ghasia (2012-present)
Member of Parliament
for Ruangwa
Incumbent
Assumed office
November 2010
Personal details
Born 22 December 1960 (age 54)
Tanganyika
Nationality Tanzanian
Political party CCM
Alma mater Mtwara TTC
University of Dar es Salaam
Profession Teacher
Military service
Allegiance United Rep. of Tanzania
Service/branch National Service
Military camp Makutopora JKT
Duration 1 year
 
Aiweze wapi?migogoro kibao kashindwa kuitekeleza pia ni bingwa wa ahadi huyo badi bakule jogoo la shamba
Magufuli tayari amefeli mtihani, serikali yake itaandika histiria mpya kama ya jk.
 
Alikuwa Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI
 

Attachments

  • Mh kassim Majaliwa.jpg
    Mh kassim Majaliwa.jpg
    28.4 KB · Views: 536
  • majaliwa.jpg
    majaliwa.jpg
    24.7 KB · Views: 526
JF Senior Expert MemberArray


Join Date : 15th November 2014
Posts : 662
Rep Power : 38688246
Likes Received562
Likes Given147


[h=2]
icon1.png
Naibu Waziri Kassim Majaliwa(CCM), atoa amri Sekondari ya Mpwapwa kufanya Tambiko[/h]
Mpwapwa. Ingawa Serikali ya Tanzania haiamini katika ushirikina wala matambiko, kuna watu mbalimbali na jamii tofauti zinaamini katika mambo hayo Mpaka waziri wa Kikwete kwa tiketi ya CCM.

Ni kama hadithi, lakini katika tukio la Februari 8 asubuhi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa(CCM) alitoa maagizo ya kufanyika kwa tambiko muda mfupi baada ya kuwasili eneo la Sekondari ya Mpwapwa kwa ajili ya kutoa pole na kuwafariji wanafunzi wa kike ambao bweni lao liliteketea kwa moto.


"Kabla sijasema mambo mengi, naomba kuagiza na hili liwe ni agizo kwamba, lazima wazee waje hapa ili kufanya Tambiko maana haiwezekani nyoka akageuka kuwa moto. Hii ni ajabu kweli, ndugu zangu, isiwe viongozi wa dini pekee yao tu," anasema Majaliwa.Anatoa mfano kuwa katika Shule ya Sekondari ya Mahuta, mkoani Lindi kuliwahi kutokea mambo kama hayo, lakini walipoitwa wazee walipita na kuimba na hali ikatulia.

"Unaweza kukuta wakaja hapa na kuimba tu na wakitoka mambo yote yanakuwa safi, huenda kuna mzee yupo hai au alishatangulia mbele za haki, lakini ana manung'uniko ya miaka mingi kwamba ardhi yake ilitwaliwa bila ya kulipwa fidia", anasema hivyo akitolea mfano kuwa katika Shule ya Sekondari ya Mahuta, mkoani Lindi yalishatokea kama ya Mpwapwa.



Mzee Mohammed Athuman Mwile (86) aliunga mkono wazi la Waziri na kusema kuwa kuhusu vifaa tambiko huhitaji kondoo pamoja na nguo nyeusi na kwamba kama watajiridhisha kuwa ni tambiko dogo, hakuna haja ya kufanya yote, bali ni wazee kusema maneno yao tu.

Chanzo: Mwananchi


 
Jina hilo limetangazwa leo na Spika wa bunge Mh. Ndugai.

Tusubiri kama ataendana na kauli mbiu ya #Hapakazi tu.

Hongera sana mkuu kassimu Majaliwa kwa kuwa PM, ila chonde chonde usitukimbie
humu jukwaani, mara moja moja ukipata wasaa , basi njoo utupie walau
uzi mmoja kisha endelea kuchapa kazi.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mhe. kwanza hapendi kumuudhi mtu yeyote! Huwa mkimyaa hapendi mikwaruzo ... aka Yes Boss !!!
 
Chaguo la msoga

Hili ni chaguo la Mkapa mkuu. Ilielezwa na chombo kimoja cha habari siku chache zilizopita kuwa Mkapa anataka Kassim Majaliwa ama Ramo Makani, mmojawapo ndiye awe Waziri mkuu. Na imekuwa hivyo. Huyu mpiga push ups anaendeshwa kinyama
 
Back
Top Bottom