Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndiye Kassim Majaliwa
.........mimi sijafurahishwa na uteuzi wake.......maana sioni akiendana na kasi ya kazi tu....
Vice president muislam fa mwanamke pm muislam hongera kwa rais magufuli kwa kubalance nchi
hata angekuteua wewe wapo ambao wangekupinga tu. Hivyo tuache maamuzi ya rais.
daaah huyo ndo Mugufuli, kweli hapa kazi tu
Nimejaribu kumgoogle jamaa ndani ya zile sekunde 15 baada ya kutangazwa na spika ila cha kushangaza nimekuta wikipedia tayari ilisha edit profile yake. Sasa ni nani huyo kabadilisha fasta hivo au ni lini ?
Hakuna sababu nyingine yoyote ya kwa nini ni Kasim Majaliwa!. Sababu ni zile zile kama nilizozieleza humu kwa nini rais ni John Pombe Magufuli!.
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John [/h]Kama rais ni Joni, it is very fair waziri mkuu akiwa Juma ...Kasimu au Ali!.
Pasco
Ufuatilii mambo ww hapa jf kuna mkuu aliandika kuwa huenda majaliwa akawa MP wiki zilizopita
Hana haki??kumteua Shemeji wa Kikwete...!?
ni kassim majaliwa ndio pm